Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

East African Kidney Institute | Ngong Rd​

1.jpg
 
As a Kenyan kweli uko hapa happy kabisa kuongelea upuuzi wa resource drain for minuscule returns in terms of diaspora remittances I thought you will think along the lines of making Kenyan Government coming up with deliberate policies that will grow entrepreneurs base by supporting small to medium enterprises in order to alleviate poverty and build a strong and resilient home grown economy that will set the stage for a modern Kenyan economy lakini it seems you are much content with 3b diaspora remittances without regards to how much the government has invested to the skilled kenyans in the diaspora. All these brain drain that you are happily celebrating would have made Kenya iwe imepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ya nchi. People are dying for lack of doctors and nurses yet you exports these cadres to other countries badala mwatumie hapo nyumbani. Seriously there is a need of rethinking your approaches when it comes to skilled manpower.
Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya. Wewe na uchumi wenu mdogo unatupa sisi advice jinsi ya kukuza uchumi wetu? Hahaha wachana
na bangi ya Gabon.
 
As a Kenyan kweli uko hapa happy kabisa kuongelea upuuzi wa resource drain for minuscule returns in terms of diaspora remittances I thought you will think along the lines of making Kenyan Government coming up with deliberate policies that will grow entrepreneurs base by supporting small to medium enterprises in order to alleviate poverty and build a strong and resilient home grown economy that will set the stage for a modern Kenyan economy lakini it seems you are much content with 3b diaspora remittances without regards to how much the government has invested to the skilled kenyans in the diaspora. All these brain drain that you are happily celebrating would have made Kenya iwe imepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ya nchi. People are dying for lack of doctors and nurses yet you exports these cadres to other countries badala mwatumie hapo nyumbani. Seriously there is a need of rethinking your approaches when it comes to skilled manpower.
Wacha kuongea utopolo wewe. Unadharau remittance kwa sababu una ujinga fulani ya kutoelewa umuhimu wa remittance yaani capital inflow katika uchumi husika. Hii remittance ni an important source of foreign currency exchange. Hii remittance ya $3 billion ni a bigger source of dollars to Kenya's economy kushinda hata tourism sector. Hii pesa inayotumwa inatumika kuelimisha Wakenya, au kununua shamba na kujenga majumba. Isitoshe Remittance ni kitu ambacho siku hizi inaipeperusha nchi mbali mbali. Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka. Hio ni nusu ya uchumi wenu. Narudia tena Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka ambayo ni nusu ya uchumi wenu. Endelea kuidharau remittance kwa sababu nyie hamna proffesionals waliosoma. Upuuzi mtupu.
 
Kweli soko la kariakoo linajengwa nilipita hapo kama 2 months ago wamezungushia mabati na walikuwa waki drill nazani wanachimba mashimo ya kuweka msingi.
Ni jambo zuri na Mungu aweke mkono wake liishe ndani ya muda. Ahsante kwa taarifa!!
 
Duh, huyu Mkandarasi kimeo kapewa tena na phase 2 kaongezewa muda, sijui ametushika wapi aisee[emoji22]
Tusipokuwa makini tutaula wa chuya, hivi hawa waturuki na Wajerumani siku hizi wameachana na kandarasi za barabara mbona wako vizuri?
 
Back
Top Bottom