Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Guys anyone with Updates on Msalato International Airport and the Dodoma outer ring road ,
are we sure this is not another lazy regime of wasting time ? Pesa ishatolewa kitambo
Tender ilishatangazwa mkandarasi alishapatikana status ya mwisho ni kukabidhiwa site kwa ajili ya kuanza ujenzi ila ni Mchina kwa kifupi tu,kesho naweza kukupa updates lini ana commerce.
 
Ninasikiliza budget ya Kenya inayosomwa sasa hivi. Waziri wa fedha amesema kwamba uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.6% in 2021. joto la jiwe hii failed state ya Kenya unayoichukia imekuwa kwa zaidi ya 7% mwaka uliopita. Sasa sijui utalilia wapi? Aliye karibu nawe akupe handkerchief upanguze machozi. Hii nchi unayoichukia inazidi kupaa. Hii failed state ya Kenya mbona haianguki? Masikini joto, nakuonea huruma. [emoji28] [emoji1787]
Cc Geza Ulole
All that growth amid Covid pandemic very interesting indeed.
 
Tender ilishatangazwa mkandarasi alishapatikana status ya mwisho ni kukabidhiwa site kwa ajili ya kuanza ujenzi ila ni Mchina kwa kifupi tu,kesho naweza kukupa updates lini ana commerce.

Sawa mkuu, but the difference I see with this regime is Laziness,
Hakuna Followup kabisa as if hakuna mtu ana uchungu na nchi for now,
Our madam is just incompetent and lazy,
Ila nalaumu hawa wengine kina Mbarawa,
Mbarawa wa Magufuli na huyu wa leo ni tofauti sana.
 
Ninasikiliza budget ya Kenya inayosomwa sasa hivi. Waziri wa fedha amesema kwamba uchumi wa Kenya ulikuwa kwa 7.6% in 2021. joto la jiwe hii failed state ya Kenya unayoichukia imekuwa kwa zaidi ya 7% mwaka uliopita. Sasa sijui utalilia wapi? Aliye karibu nawe akupe handkerchief upanguze machozi. Hii nchi unayoichukia inazidi kupaa. Hii failed state ya Kenya mbona haianguki? Masikini joto, nakuonea huruma. 😅 🤣
Cc Geza Ulole
growth ya mikopo sio?
 
JPM kaanzisha infrastructure projects worth 25b dollars in only 5 years sasa tupe evidence kama kenyatta ameweza fikia hiyo fit in 5 years alone.
 
JPM kaanzisha infrastructure projects worth 25b dollars in only 5 years sasa tupe evidence kama kenyatta ameweza fikia hiyo fit in 5 years alone.
Lappset alone is $25B, unataka niendelee ama niache tu[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
'The value of Kenya's GDP has hit sh. 13.5 trillion in 2022, growing over 155% from 2013's value of sh. 5.5 trillion'
-Cs Yatani
 
All that growth amid Covid pandemic very interesting indeed.
Covid ilikuwa 2020 wakati Kenya ilifunga uchumi wake. 2020 Kenya ilikuwa na negative growth ya -0.3%. Yaani gdp ya Kenya ilipungua kidogo mwaka wa 2020. 2021 uchumi haukufungwa na ndio maana imegrow kwa asilimia zaidi ya 7
 
Mombasa port
1649351178745.png
 
Sawa mkuu, but the difference I see with this regime is Laziness,
Hakuna Followup kabisa as if hakuna mtu ana uchungu na nchi for now,
Our madam is just incompetent and lazy,
Ila nalaumu hawa wengine kina Mbarawa,
Mbarawa wa Magufuli na huyu wa leo ni tofauti sana.
Kwa nchi zetu hizi za kiafrika inahitaji uwe na ujasiri sana wa kuziendesha kama alivyokuwa Hayati kuna mambo mengine hayahitaji hata capital ni maswala ya ki-administrative tu ila utashangaa...,pia watu hawana ule uzalendo wakujua nafasi zao katika kuipeleka nchi mbele usishangae sisi tuko na moto wa furaha tunapoona miradi inakwenda mbele vizuri ila kuna baadhi ya watu wako ndani ya miradi hiyo hiyo hawana hata nukta au wala hata chembe ya kuguswa!!!Wapo tu kusubiri mishahara na posho maisha yaendelee. Mh Mbarawa at least anajitajidi yuko kila mahali,
 
Back
Top Bottom