kuna technique za vita tony 🤣🤣 watu wanapigana vita vya akili hapo hapo ujue russia anapigana na ukraine pamoja na nchi za nato zote 😂😂😂 kila siku wanatuma silaha lakini matokeo yake ni sifuriMissile strikes haibadilishi ukweli kwamba watu wako wamekuwa defeated in Kiev and Chernihiv. Wacha sasa wajaribu bahati yao huko Donbass region.
Mimi naongea jambo ambalo waziri wenu mwenyewe ananukuliwa akiliongea mbele ya bunge lenu. Sasa kati ya Waziri wenu na wewe nimuamini nani? Afadhali niamini waziri wenu.Cartoon mwengine huyoo [emoji119][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungejua jinsi Wakenya wanaidharau Tanzania hungeongea hivi unavyoongea.Kwasababu mumeanza kupata akili, baada ya Tanzania kuamua kutopiga kura, Kenya ilijihisi vibaya Sana kwa kutokuwasiliana na Tanzania, ukweli kabisa, viongozi na wananchi wengi wa Kenya wanaiangalia Tanzania Kama kioo katika mahusiano na diplomasia ya kimataifa
Gwizzy hio ndio sad reality ya Kenya. Usiposoma unaangamia au anaishi maisha ya umasikini sana. Wale ambao wana bahati ya kusoma wanafaidika. Hatuna fertile land kubwa au mineral resources kama nchi zingine. The good thing ni eti kwa sababu tumesoma sana unakuta kuna more than one million Kenyans working in foreign countries as doctors, nurses, teachers na kadhalika. Remittance wanayotuma nyumbani ni $3 billion kila mwaka. Hio ni the same na pesa ambayo Tanzania inapokea kwa kuuza dhahabu. Wao wamebarikiwa na dhahabu, sisi tumebarikiwa na watu waliosoma na wanaojituma.View attachment 2180015
Tells the story of a country that is not blessed with natural resources....Education remains the only way out. Everyone is on his own. The only thing the government can do is make sure you gain some skills to help yourself. If you don't, you simply perish 😃😃
Kampuni za Kenya 530 zimewekeza $1 billion pekee hapo Tanzania. Unadhani $1 billion ni utopolo gani kwa uchumi wa $109 billion? Uchumi wa Kenya ambao ni mkubwa hauwezi kusambaratika ikiwa hizo kampuni 530 zitafunga ofisi zao hapo Tanzania. Hizo ni kampuni ndogo ndogo sana.Kenya ilipata shida Sana tulipofungiana borders 1977, bahati kwenu kipindi kile bado kulikua na "cold war", ninyi mlikua mnapata support kubwa toka "western countries", pia uchumi wa Kenya ulikuja hautegemei Sana nchi za Uganda na Tanzania.
Hivi Sasa uchumi wa Kenya umeegemea Sana katika nchi hizi mbili, Uganda na Tanzania, yaani bila Tanzania na Uganda uchumi wa Kenya utayumba Sana, kumbuka Kuna zaidi ya kampuni 520 ya Kenya yamewekeza Tanzania pekee, hiyo ni dalili tosha kwamba, bila Tanzania uchumi wa Kenya utasambaratika kabisa
Hivi unajua stake ya Safaricom ni ndogo sana ukilinganisha na kelele zenyu kwa media? aliyefaidika katika Safaricom Ethiopia ni Vodacom SA! Endelea kushangilia ukuwadi!Kampuni za Kenya 530 zimewekeza $1 billion pekee hapo Tanzania. Unadhani $1 billion ni utopolo gani kwa uchumi wa $109 billion? Uchumi wa Kenya ambao ni mkubwa hauwezi kusambaratika ikiwa hizo kampuni 530 zitafunga ofisi zao hapo Tanzania. Hizo ni kampuni ndogo ndogo sana.
Linganisha huo utopolo wa $1 billion unayoshinda ukiimba hapa na Safaricom consortium ambayo tayari imeinvest $1 billion in Ethiopia na wanapanga kuinvest $8.5 billion in the next 10 years. Hio ni jumla ya $10 billion.
Kenya has discovered more oil than Uganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2180015
Tells the story of a country that is not blessed with natural resources....Education remains the only way out. Everyone is on his own. The only thing the government can do is make sure you gain some skills to help yourself. If you don't, you simply perish [emoji2][emoji2]
Sio render hiyo tayari ipo realizedYou don't know what quality is. Your render is just a waste of space.
Render ? na mali ishaanzwa kujenga..si wewe waga unasema unajua Kenya Kila mahali?ama unasema kenya la twitter ama facebook?asante kwa render 😂😂😂 zwazwa nae kashangilia render
mmeanza na kelele zenyu za COW sio? Mind u trade volume ya Kunyaland DRC ni $137 mln while Tanzania's is over $400mln! 🤣🤣Museveni nchini kenya Kushuhudia DRC kujiunga na EAC rasmi . Ile headquarter ya EAC Arusha Kazi yake nini?View attachment 2180214
Hivi unajua maana ya kuwekeza?, Hiyo pesa inaingiza zaidi ya $300M kila mwaka Kama profits.Kampuni za Kenya 530 zimewekeza $1 billion pekee hapo Tanzania. Unadhani $1 billion ni utopolo gani kwa uchumi wa $109 billion? Uchumi wa Kenya ambao ni mkubwa hauwezi kusambaratika ikiwa hizo kampuni 530 zitafunga ofisi zao hapo Tanzania. Hizo ni kampuni ndogo ndogo sana.
Linganisha huo utopolo wa $1 billion unayoshinda ukiimba hapa na Safaricom consortium ambayo tayari imeinvest $1 billion in Ethiopia na wanapanga kuinvest $8.5 billion in the next 10 years. Hio ni jumla ya $10 billion.
Hii iko poa sana.Shabiby wako vizuri,Sasa sijui watamaintain usafi kwa route ndefu kama zilivyo hizi route fupi? Huwa ninapenda usafi wa magari yao.route matata kabisa dodoma bukoba kampala
View attachment 2179814
Wewe nilishakueleza kwamba 25% ya shares ya Safaricom ni free-float yaani ni shares ambazo zipo listed on the Nairobi securities exchange. Sasa hata tuki-assume kwamba nusu ya hii free float inamilikiwa na watu au kampuni za Kenya basi hio ni 12.5% ya shares ya Safaricom. GoK nayo inamiliki 35% ya Safaricom. Kwa ujumla Serikali ya Kenya, kampuni za Kenya na watu wa Kenya wanamiliki 12.5%+35%=47.5% ya Safaricom. Hio ni karibu nusu ya shares za Safaricom.Hivi unajua stake ya Safaricom ni ndogo sana ukilinganisha na kelele zenyu kwa media? aliyefaidika katika Safaricom Ethiopia ni Vodacom SA! Endelea kushangilia ukuwadi!
no comment