Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi tu haina hospital kama hii ya Chato

View attachment 2179374
Tenwek Hospital

about.jpg
 

Mama anafaa auchukue huu ushauri na ufanyie kazi haraka iwezekanavyo hutuwezi kundelea kupangiwa bei na wazungu

Shabiby hajawahi kosea,huyu ndio alimlipua Kalemani na kampuni yao na Mwendazake waliokuwa wanapiga pesa kwa kuweka pigments kwenye mafuta na baada kulipua tenda ikafutiliwa mbali na Rais na Kazi kupewa TBS.
 
Mtanzania akiona neno slum anaona kibera standard😂😂😂.., yaani Ruai, Uthiru, Githurai, Riruta ni slum itakua Dar yoote (95%) ni slums.., tumia google earth., standards za Tanzania ni level ya slum 90%.., ama unabisha tulinganishe na yale yote tuna taja kama slum hapa Kenya?.., mko ovyo na hampendi kukubali., accept the truth and rise from it and prosper, deny and be condemned in poverty forever.
View attachment 2179097
wapi deep sea slum?
 
Kwa nchi zetu hizi za kiafrika inahitaji uwe na ujasiri sana wa kuziendesha kama alivyokuwa Hayati kuna mambo mengine hayahitaji hata capital ni maswala ya ki-administrative tu ila utashangaa...,pia watu hawana ule uzalendo wakujua nafasi zao katika kuipeleka nchi mbele usishangae sisi tuko na moto wa furaha tunapoona miradi inakwenda mbele vizuri ila kuna baadhi ya watu wako ndani ya miradi hiyo hiyo hawana hata nukta au wala hata chembe ya kuguswa!!!Wapo tu kusubiri mishahara na posho maisha yaendelee. Mh Mbarawa at least anajitajidi yuko kila mahali,
Wengine wanatamani ichelewe kumalizika ili waendelee kulipwa mshahara karaha wanazopata wananchi haziwagusi hata kidogo.

Feasibility study inaweza kuchukua hata miaka 5 bila kukamilika na muda wote huo wanalipana tu. Kosa wananchi waisahau hiyo ndio mwanzo wa kuhujumiwa. Watz kuweni na huruma na muwe na spirit ya maendeleo. Miradi ikikamilika kwa wakati tunakuwa tumeokoa pesa nyingi na ni faida kwetu sote.
 
Lappset alone is $25B, unataka niendelee ama niache tu[emoji23][emoji23][emoji1787]
and where is lapset?? 🤣🤣🤣 since kibaki unaongelea lappset na sijaona hata senti moja imetengeneza zaidi ya white elephant lamu port
 
Mbona vingi tu vinaishia kwenye makaratasi, soko la kkoo kimya, BRT phase 3 kimyaa, vi flyover tu pale Chang'ombe na uhasibu vinawatoa jasho c mchezo, hyo BRT phase 2 yenyewe inasuasua, wamebaki kuringia miradi ya awamu ya tano ambayo nayo inaenda kwa kusuasua.

Serikali hii inachoweza kutekeleza ni ujenzi wa madarasa ya shule na vibarabara uchwara ambavyo hata rais akiwa paka anaweza kuvikamilisha. Wamebaki kusifu sifu tu na upuuzi mtupu.
Mkuu The best 007.Jana nilikuwa ninapitia mtandaoni nikamuona mkuu wa mkoa wa Dar anazungumzia soko la Kariakoo kwamba ujenzi wake uko mbele kwa asilimia 15.

Akaongeza kwamba hata lile soko litakalojengwa Msimbazi kila kitu kipo tayari wanasubiria go-ahead ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kurelease fund.

Bado ninaendelea kuifuatilia nipate taarifa kamili au kama kuna mtu yupo karibu na site atupie picha humu tuone nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom