Umesahau Kenya iliishi vizuri tu bila EAC kuanzia mwaka wa 1977 hadi 2001? Ama umesahau hilo? Halafu trade kati ya Kenya na nchi jirani itaendelea tu. Usifikiri kwamba Kenya iliwacha kutrade na Uganda au Tanzania eti kwa sababu EAC ilivunjika. EAC ina advantage moja tu, kwamba inapunguza tariff na trade barriers. Bila EAC trade itaendelea ila kutakuwa na trade barriers na tozo za aina nyingi kwa hivyo trade itakuwa expensive na itapungua lakini haitakwisha. Tutaendelea kununua mizigo na kuuziana mizigo.