Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ushahidi kuwa hii barabara inamilikiwa na mchina[emoji23]
haka ni kamradi wa wachina kupiga hela kwa mazuzu kiulaini sana

View attachment 2179032
View attachment 2179033
Umeanika ushamba wenu humu😂😂😅, hauna international experience, kwa hizi fikra zako na wenzako sitakosea kusema wewe ni fukara wa kijijini kule Tanzania na hauna exposure, ikija mambo ya toll roads na PPP economic model hautambui, unasukumwa na wivu tu na ushabiki wa kishamba😂😂🤣🤣🤣., ila mama Samia anatamani hii model ya PPP la sivyo malengo ya Tanzania ya 2025 hayatatimia karne hii, uchumi weni ni hafifu sana, miradi inajikokota sana😂😂😂.,
Do u know why Taiwan roads at some point were ranked among the best in the world? (na several ni toll, mostly ppp).., also their high speed railroad was established through PPP model.., ni mtindo wa nchi nyingi zilizo endelea. A faster and safest way for development. Huu ushamba wenu unao chochewa na wivu hautawapeleka mahali.., kama unaelewa English, let me give u a link to understand PPP economic model.., ni safi sana, I wish Kenya ingetumia hii model miaka ya nyuma, ingepunguza uwizi wa pesa serekalini, yaani corruption ingekua checked, Kenya inge benefit sana! Tumechelewa, but better late than never.

Weka wivu na kujitia hamnazo pembeni pata elimu..,
click hii👇👇 link soma hiyo pdf.,

1649337034361.png

1649337058774.png

1649337069156.png
 
Mbona vingi tu vinaishia kwenye makaratasi, soko la kkoo kimya, BRT phase 3 kimyaa, vi flyover tu pale Chang'ombe na uhasibu vinawatoa jasho c mchezo, hyo BRT phase 2 yenyewe inasuasua, wamebaki kuringia miradi ya awamu ya tano ambayo nayo inaenda kwa kusuasua.

Serikali hii inachoweza kutekeleza ni ujenzi wa madarasa ya shule na vibarabara uchwara ambavyo hata rais akiwa paka anaweza kuvikamilisha. Wamebaki kusifu sifu tu na upuuzi mtupu.
Ni uchumi wenu hafifu, pato la taifa ni kidogo sana ila matumizi yamezidi, liko wazi sana, pengine wewe ukue boya hauwelewi mambo ya uchumi wenu, usilaumu serikali bure, mko hovyo The best 007 sasa inadhihirika wazi, propaganda hainaga shelf life🤣🤣😂🤣😂😂
 
Umeanika ushamba wenu humu[emoji23][emoji23][emoji28], hauna international experience, kwa hizi fikra zako na wenzako sitakosea kusema wewe ni fukara wa kijijini kule Tanzania na hauna exposure, ikija mambo ya toll roads na PPP economic model hautambui, unasukumwa na wivu tu na ushabiki wa kishamba[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]., ila mama Samia anatamani hii model ya PPP la sivyo malengo ya Tanzania ya 2025 hayatatimia karne hii, uchumi weni ni hafifu sana, miradi inajikokota sana[emoji23][emoji23][emoji23].,
Do u know why Taiwan's roads at some point were ranked among the best in the world? (na zote ni toll, mostly ppp).., also their high speed railroad was established through PPP model.., ni mtindo wa nchi nyingi zilizo endelea. A faster and safest way for development. Huu ushamba wenu unao chochewa na wivu hautawapeleka mahali.., kama unaelewa English, let me give u a link to understand PPP economic model.., ni safi sana, I wish Kenya ingetumia hii model miaka ya nyuma, ingepunguza uwizi wa pesa serekalini, yaani corruption ingekua checked, Kenya inge benefit sana! Tumechelewa, but better late than never.

Weka wivu na kujitia hamnazo pembeni pata elimu..,
click hii[emoji116][emoji116] link soma hiyo pdf.,

View attachment 2179207
View attachment 2179208
View attachment 2179209
Hii long comment nikuficha machunguuu, kaa kimya kama kupigwa mlisha pigwa subiri ganzi ishe mpate maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona vingi tu vinaishia kwenye makaratasi, soko la kkoo kimya, BRT phase 3 kimyaa, vi flyover tu pale Chang'ombe na uhasibu vinawatoa jasho c mchezo, hyo BRT phase 2 yenyewe inasuasua, wamebaki kuringia miradi ya awamu ya tano ambayo nayo inaenda kwa kusuasua.

Serikali hii inachoweza kutekeleza ni ujenzi wa madarasa ya shule na vibarabara uchwara ambavyo hata rais akiwa paka anaweza kuvikamilisha. Wamebaki kusifu sifu tu na upuuzi mtupu.
Don't blame your government, uchumi wenu ndio ndogo to allow such projects to run as you wish[emoji23][emoji23]
 
Hii long comment nikuficha machunguuu, kaa kimya kama kupigwa mlisha pigwa subiri ganzi ishe mpate maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Niondolee uzembe wako hapa., it was not meant for such a clueless idiots like you, kwani haujijui dogo?.., wewe ni wale wa vipicha, stick to your lane, wala usione haya, niletee mapicha ya SGR ya umeme, hapo nitakuelewa, mengine pita kimya kimya🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂
 
Mbona vingi tu vinaishia kwenye makaratasi, soko la kkoo kimya, BRT phase 3 kimyaa, vi flyover tu pale Chang'ombe na uhasibu vinawatoa jasho c mchezo, hyo BRT phase 2 yenyewe inasuasua, wamebaki kuringia miradi ya awamu ya tano ambayo nayo inaenda kwa kusuasua.

Serikali hii inachoweza kutekeleza ni ujenzi wa madarasa ya shule na vibarabara uchwara ambavyo hata rais akiwa paka anaweza kuvikamilisha. Wamebaki kusifu sifu tu na upuuzi mtupu.

ni zaid ya huzuni.. ila hakuna shida, yupo kwa mujibu wa katiba sababu ya mwenzake kuondoka.. kosa kubwa tutakalofanya watanzania ni kumfanya kuendelea kuwa Rais 2025[emoji23]
ila kuhusu Dodoma ring si wamezindua juzi jamen.. waachen wakandaras wafanye mobilisation kwanza
 
Guys anyone with Updates on Msalato International Airport and the Dodoma outer ring road ,
are we not sure this is another lazy regime of wasting time ? Pesa ishatolewa kitambo
ishakuwa miyeyusho kwa sasa tuwe wapole tu walioingia nothing ,

kazi kubwa inahitajika

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kwa akili na mahojiano gani we kizuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ficha ujinga wako, mm sio level ya kubishana na ww
Pia huna chochote cha kumweleza mtz yoyote juu ya toll fee
Niondolee uzembe wako hapa., it was not meant for such a clueless idiots like you, kwani haujijui dogo?.., wewe ni wale wa vipicha, stick to your lane, wala usione haya, niletee mapicha ya SGR ya umeme, hapo nitakuelewa, mengine pita kimya kimya[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Hahahha[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ww wakujilinganisha na taiwan na kutumia kama mfano wa toll roads? wenzio kwa 1km wanalipa chini ya 5cent usd, uko apa kutetea ujinga wa ilo costfull road by mchina ...kuficha upumbavu kisa mchina amewa lambisha roro7
 
Back
Top Bottom