Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

relevant or not clearly the Tanzania government trusts Kenyans enough to the point that they chose Kenyans design the Tanzania parliament building.

you really think there's a way to argue yourself out of this reality?....I am entertained by your ability to discover new ways to be stupid.
.
Tanzania is the most important country in EAC, if Tanzania endorses/ trust any country member, that country must feel honoured and is very good reason for celebrating, I can feel you guys, go on with what you are doing(Celebration?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hello there

Screenshot_20220407-001702.jpg
 
Hapa unachosema sio kweli. Hakuna jinsi Somalia itajiunga na EAC. Wacha tuweke haya majadiliano kwenye kumbukumbu. Ukweli utadhihirika tu siku za usoni. Tutaona kama Somalia itawahi kujiunga na EAC. Kenya tuna tatizo kibao na Somalia, sio hio kesi ya korti pekee. Afadhali tuondoke. Huwa mnaidharau Kenya lakini tukiondoka ndio mtajua EAC haina maana yoyote bila Kenya.
Kenya haina nguvu yoyote ndani ya EAC, kumbuka Kenya ilianzisha na kuongoza "initiatives" nyingi ndani ya EAC, lakini kwasababu Tanzania tulipinga, pamoja na kwamba nchi zingine zote zilikubali, lakini zilishindikana kutekelezeka, 1)CoW, 2)Tourist visa, 3)East Africa land ownership policy.

Tony, haiwezikani nchi Moja kukataa mwanachama mwengine kujiunga kwa sababu ya ugomvi wa nchi binafsi, Sasa hiyo jumuia Itakua ni jumuia ya wajinga na wapumbavu, inawezekana kuruhusu Somalia kujiunga ndio Itakua kuwaketa karibu viongozi wa Kenya na Somalia.

Ninakuhakikishia Somalia itakubaliwa hata Kenya mkiponga vipi, mkitaka mjitoe na sijui mtaishi vipi bila EAC, sisi tunaweza kwasababu tupo SADC, ninyi mtakwenda wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani TZ ndio nini kwenye EAC? Mbona TZ na Kenya tulipokosana 1977 EAC ilianguka? Kwa hivyo hata Kenya tukimwaga mboga sasa hivi kama tulivyofanya 1977, EAC inaanguka tu.
Cc joto la jiwe
EAC ilivunjika kutokana na Nyerere kukataa kukaa meza Moja na Idd Amin, Tanzania ilipokataa kushiriki vikao vya EAC, Kenya na Uganda hazikuweza kuendelea, Kama kawaida, bila Tanzania hakuna East Afrika Community
 
Kwa taarifa yako, Kenya inafanya biashara sana na nchi zilizo nje ya Africa kushinda nchi za Afrika. Kenya inauza majani chai Pakistan, Egypt na UK. Kenya inauza mboga na maua Netherlands. Kenya inauza textile products (nguo za kuvaa) USA. Kenya inapokea $3 billion ya remmittance kila mwaka kutoka kwa Wakenya wanaoishi ulaya na zaidi ya 60% ya hii pesa inatokea USA. Kenya inategemea USA, UK na nchi za ulaya kwenye tourism sector. Kwa hivyo Kenya inategemea USA, UK na nchi za nje kushinda nchi za Afrika.

Cc joto la jiwe
Kenya inategemea soko la EAC by 80% kuuza bidhaa zake za viwandani, huko nje zaidi mnauza mazao ya shambani,(Maua, chai na Ovacados). Viwanda vya Kenya vinategemea nchi ya Tanzania na Uganda kwa ajili ya kupata Mali ghafi zake by 85% , bila hizi nchi(Tz & Ug), manufacturing sector ya Kenya itakufa.

Kenya inategemea chakula cha Tanzania na Uganda, bila chakula cha Tanzania na Uganda, mtakufa kwa njaa kila siku.
 
Lazima kuna mmoja mmoja anayefaidika Ila 90% ni mali ya Mzungu, Myahudi, Mchina et al.
Mwenye mgodi mkubwa kabisa wa Tanzanite ni company ya Mengi inaitwa Tanzanite One na policy ya madini ya Vito Tanzania ni lazima yachimbwe na mtanzania sio kama gold and other minerals hata foreigners wapo na ndio maana yule mkenya alikamatwa kwa kugushi nyaraka muhimu na kujifanya mtanzania huku akijua Tanzanite haichimbwi na asie mtanzania unless aingie ubia na mtanzania na mtanzania amiliki shares kubwa kwenye company!
 
Mimi nilikuwa nakujibu kwa sababu ulisema bila Tanzania au Uganda kwamba Kenya tutakufa. Sasa nilikuwa nakuarifu tu kwa taarifa yako kwamba bila Tanzania au Uganda bado Kenya tutaendelea kuuza mazao yetu na kupokea remmittance ya $3 billion kutoka nchi zilizo nje ya Afrika. Kwa hivyo muwache maringo, sisi hatuwahitaji kama mnavyofikiri.

Cc joto la jiwe
Vipi mmeshajitosheleza kwa chakula kwanza?! Njaa ni kitu mbaya sana Buda!!!Unaweza ukawa bibi ya mtu ghafla tu!😆
 
Mwenye mgodi mkubwa kabisa wa Tanzanite ni company ya Mengi inaitwa Tanzanite One na policy ya madini ya Vito Tanzania ni lazima yachimbwe na mtanzania sio kama gold and other minerals hata foreigners wapo na ndio maana yule mkenya alikamatwa kwa kugushi nyaraka muhimu na kujifanya mtanzania huku akijua Tanzanite haichimbwi na asie mtanzania unless aingie ubia na mtanzania na mtanzania amiliki shares kubwa kwenye company!
Hehehe, unawekea marehemu mali isiyo yake bradhee.

1.png
 
EAC ilivunjika kutokana na Nyerere kukataa kukaa meza Moja na Idd Amin, Tanzania ilipokataa kushiriki vikao vya EAC, Kenya na Uganda hazikuweza kuendelea, Kama kawaida, bila Tanzania hakuna East Afrika Community
huyo hajui kitu,kuhusu chanzo cha kuvunjika kwa EAC na hiyo ndiyo kawaida ya mkenya yeyote wapo for nothing kwa hii dunia

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom