Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu hii Ruai unaita slum? Heeeheee

images - 2022-04-07T122830.508.jpeg
 
Kenya ukiondoa slums kesho Asubuhi hupati nchi [emoji23][emoji23][emoji23] sababu yote ni slums

Nimewapa kabang ya Dom wakakimbilia Dar kutafuta unplanned settlement sababu Dom wamekosa kabisa, wakati Kenya hakuna county utakosa msambao wa slums, counties zao zote zina slums kila kona

Ni slums dwellers tu hawa kondoo.
 
Mbona ni balaa hii! [emoji23][emoji23][emoji23]

Kenya’s capital, Nairobi, has more than 40 areas defined as slums and approximately 60% of Nairobi’s population, of 4.4 million people, live in low income settlements (slums).

Na hawa waliopo humu wengi wao wanaishi kwa slums, wanaonekana tu argument zao ni wana hasira sn kutokana na maisha magumu wanayoishi.
 
Vigezo vya nchi kuingia EAC vipo wazi na vineandikwa katika mikataba/makubaliano EA act, Kama nchi yoyote itatimiza hivyo vigezo, lazima itaruhusiwa kujinga na jumuia ya East Africa, haijalishi Kama nchi mwanachama itapinga au hapana, kumbuka hakuna " matumizi" ya veto katika maamuzi kwenye jumuiya ya EA.

Tatizo la wakenya ninyi ni wakorofi Sana, katika ugomvi wenu na Somalia, mahakama na dunia nzima zimerhibitisha kwamba Somalia ndio yenye haki, Sasa unataka Somalia ikataliwe kujiunga/ kupewa haki kutokana na ukorofi wenu?, Kwahiyo Kama mwanachama mmoja anamatatizo yake binafsi na nchi nyingine, basi hiyo nchi itakataliwa kujiunga kwasababu ya matatizo Yao?.

Nonakuhalilishia, Somalia ikitimiza vigezo itaruhusiwa kujiunga, kigezo kimoja muhimu ni "Stable government" Somalia ikiwa na stable government itaruhusiwa bila kujali Kenya mtaamuaje, Tanzania ndio baba wa EAC, ndio muanzilishi wa wazo la kuundwa EAC (Julius Nyerere), Tanzania ndio kwenye HQ ya EAC(Arusha). Tanzania ikipinga jambo lolote katika EAC hakiwezi kufanikiwa(CoW & tourist visa)
na huo ndiyo ukweli

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mbona ni balaa hii! [emoji23][emoji23][emoji23]

Kenya’s capital, Nairobi, has more than 40 areas defined as slums and approximately 60% of Nairobi’s population, of 4.4 million people, live in low income settlements (slums).

wakija hapa wanaishia kupost picha zao za estate tu ambazo miaka nenda rudi ni hizo hizo tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ardhi Tanzania inaweza shikwa na asie mtanzania usijidanganye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tofautisha kukodishiwa na kushikwa hayo mashamba yana wenyewe [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
Screenshot_20220406-080221.jpg
 
Back
Top Bottom