chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,685
- 45,921
Kigoma is London to KisumuRiat Hills Kisumu. Pembeni mwa jiji kabisa.
![]()
![]()
![]()
![]()
Kigoma is London to KisumuRiat Hills Kisumu. Pembeni mwa jiji kabisa.
![]()
![]()
![]()
![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Nyinyi watu bana [emoji3][emoji3]
Mwisho wa ngebe huu hapa 😅😅😅😅Two roads entering Kisumu.
First one is Kisumu Busia Road
Second one is Kisumu Nairobi Road.
View attachment 2178520View attachment 2178521
Na hii pia 🤣Sorry, here are end products [emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 2178308View attachment 2178309View attachment 2178310View attachment 2178311View attachment 2178312
Vigezo vya nchi kuingia EAC vipo wazi na vineandikwa katika mikataba/makubaliano EA act, Kama nchi yoyote itatimiza hivyo vigezo, lazima itaruhusiwa kujinga na jumuia ya East Africa, haijalishi Kama nchi mwanachama itapinga au hapana, kumbuka hakuna " matumizi" ya veto katika maamuzi kwenye jumuiya ya EA.Wewe nilishakuambia kwamba Somalia haiwezi kuingia EAC kwa sababu Kenya ita-veto hio decision. Ujue hakuna jinsi nchi mpya itaingia EAC ikiwa nchi yoyote itapinga. Kwa hivyo Somalia haiwezi kuingia EAC ikiwa Kenya itakataa. Decisions za EAC zinafanywa kutumia concensus yaani makubaliano. Hakuna kutumia kifua kwenye EAC lazima kila nchi ikubali ili jambo fulani lifanyike. Somalia haitaingia EAC. Simple tu. Somalia ni maadui wetu wa jadi na hatuwezi kukaa kwenye nyumba moja na wao.
Hawana na kusema Wala kujivunia zaidi ya kutumia Tanzania kupata umaarufu.Wewe mbwa when will you stop commenting without sources.
Only thing remaining to keep you relevant is to show the world that "even Tanzania trust Kenya in one way or another, without forcing endorsement from Tanzania, there is nor way Kenya can remain relevant[emoji23][emoji23][emoji23]no amount of falling buildings in Kenya will change the fact that your source of pride, national symbol and where your laws are made was designed by Kenyans....hii wembe utaimeza leo.
This is how Tanzania is big brother in EAC, Kenya without showing the World that even Tanzania trusts Kenya, there is nor way Kenya can get any where, is this the story to be on the front page?, Kenya mnaiogopa Sana Tanzania
On paper looks promising but the reality on the ground [emoji116]
View attachment 2178591View attachment 2178592View attachment 2178593
Kama hiyo ni slum na hii je tutaita Nini? 🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
relevant or not clearly the Tanzania government trusts Kenyans enough to the point that they chose Kenyans design the Tanzania parliament building.Only thing remaining to keep you relevant is to show the world that "even Tanzania trust Kenya in one way or another, without forcing endorsement from Tanzania, there is nor way Kenya can remain relevant[emoji23][emoji23][emoji23]
Zoom in please 🤗
Fact ni bunge la Tanzania ilichorwa na mkunyaIngekuwa ishadondoka.
This is a different place you idiot. The photo I posted doesn't have right angled streets and apartments. Na hiyo uliyoppost ndio mitaa yenu upper middle class na inakaa ovyo hivo.🤣🤣
Hapa unachosema sio kweli. Hakuna jinsi Somalia itajiunga na EAC. Wacha tuweke haya majadiliano kwenye kumbukumbu. Ukweli utadhihirika tu siku za usoni. Tutaona kama Somalia itawahi kujiunga na EAC. Kenya tuna tatizo kibao na Somalia, sio hio kesi ya korti pekee. Afadhali tuondoke. Huwa mnaidharau Kenya lakini tukiondoka ndio mtajua EAC haina maana yoyote bila Kenya.Vigezo vya nchi kuingia EAC vipo wazi na vineandikwa katika mikataba/makubaliano EA act, Kama nchi yoyote itatimiza hivyo vigezo, lazima itaruhusiwa kujinga na jumuia ya East Africa, haijalishi Kama nchi mwanachama itapinga au hapana, kumbuka hakuna " matumizi" ya veto katika maamuzi kwenye jumuiya ya EA.
Tatizo la wakenya ninyi ni wakorofi Sana, katika ugomvi wenu na Somalia, mahakama na dunia nzima zimerhibitisha kwamba Somalia ndio yenye haki, Sasa unataka Somalia ikataliwe kujiunga/ kupewa haki kutokana na ukorofi wenu?, Kwahiyo Kama mwanachama mmoja anamatatizo yake binafsi na nchi nyingine, basi hiyo nchi itakataliwa kujiunga kwasababu ya matatizo Yao?.
Nonakuhalilishia, Somalia ikitimiza vigezo itaruhusiwa kujiunga, kigezo kimoja muhimu ni "Stable government" Somalia ikiwa na stable government itaruhusiwa bila kujali Kenya mtaamuaje, Tanzania ndio baba wa EAC, ndio muanzilishi wa wazo la kuundwa EAC (Julius Nyerere), Tanzania ndio kwenye HQ ya EAC(Arusha). Tanzania ikipinga jambo lolote katika EAC hakiwezi kufanikiwa(CoW & tourist visa)
Dodoma black roofing zone! 🤩
Kwani TZ ndio nini kwenye EAC? Mbona TZ na Kenya tulipokosana 1977 EAC ilianguka? Kwa hivyo hata Kenya tukimwaga mboga sasa hivi kama tulivyofanya 1977, EAC inaanguka tu.Labda Tz isikubali lkn Tz ikikubali basi Somalia ita join EAC.
Kenya inategemea sana EAC lasivyo business partners wenu by 90% wanatakiwa wawe Sudan, Somali, Ethiopia lakini kama mnategemea soko la Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na nchi za SADC hamna ubavu wa kuleta kiburiHapa unachosema sio kweli. Hakuna jinsi Somalia itajiunga na EAC. Wacha tuweke haya majadiliano kwenye kumbukumbu. Ukweli utadhihirika tu siku za usoni. Tutaona kama Somalia itawahi kujiunga na EAC. Kenya tuna tatizo kibao na Somalia, sio hio kesi ya korti pekee. Afadhali tuondoke. Huwa mnaidharau Kenya lakini tukiondoka ndio mtajua EAC haina maana yoyote bila Kenya.