Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Kwa taarifa yako, Kenya inafanya biashara sana na nchi zilizo nje ya Africa kushinda nchi za Afrika. Kenya inauza majani chai Pakistan, Egypt na UK. Kenya inauza mboga na maua Netherlands. Kenya inauza textile products (nguo za kuvaa) USA. Kenya inapokea $3 billion ya remmittance kila mwaka kutoka kwa Wakenya wanaoishi ulaya na zaidi ya 60% ya hii pesa inatokea USA. Kenya inategemea USA, UK na nchi za ulaya kwenye tourism sector. Kwa hivyo Kenya inategemea USA, UK na nchi za nje kushinda nchi za Afrika.Kenya inategemea sana EAC lasivyo business partners wenu by 90% wanatakiwa wawe Sudan, Somali, Ethiopia lakini kama mnategemea soko la Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na nchi za SADC hamna ubavu wa kuleta kiburi
Nchi pekee inayoweza kujiondoa EAC na mambo yake yakaenda kama kawaida ni Tanzania tu sababu inajitegemea kwa kila kitu kuanzia bandari na direct borderlines na masoko makubwa ya bidhaa zake.
Cc joto la jiwe