Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you showing different areas with the one I posted? I want you to show me the exact location I posted

View attachment 2173834

View attachment 2173835

IMG_5753.jpg

IMG_5751.jpg
 
But I don't see any difference between the two pictures,l. In both, the quality is pathetic.

The road is still Under construction tulia, from hatuna hela ya kujenga mpaka hamna tofauti , unahamisha sana magoli wewe. The road is still under construction, with beautiful side walks, Concrete poles , Road Marking etc.

IMG_5747.jpg
 
Mwambie bibi ako akupee Panadol!!!
Why? I don't suffer from any pain that can make me take any analgesic drug. And even if I was to take the analgesic drugs, I don't think if the 500mg paracetamol quantity in the Panadol can relieve it😂😂.
 
Kuna mtu alikuwa anataka battle ya markets, sijui kamepotea wapi?🤣😂
 
ichoboy01 wajinga wa Russia wanaondoka Kiev. Hata president wa Ukraine ameconfirm kwamba jeshi la Russia baada ya kula kichapo kizito wameondoka Kiev. Sasa sijui ulikuwa unapinga nini? Kubali yaishe kwamba hawa wajinga wa Putin wamefukuzwa Kiev ambayo ndio capital city ya Ukraine. Usicheze na Javelin ATGM ya marekani na NLAW ya UK kwa kupika tank za Mrusi hadi zikawa kama chapati.
 
asante kwa western propaganda 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom