Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ndio usafi? This is Upanga[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 2173317View attachment 2173318View attachment 2173320
Apana huu ndio usafi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1472958617.jpg
JamiiForums1406882853.jpg
 
Nyie ni kama mna mall moja tu hio Mlimani city. Kwa nini hio ndio mall mnayotaja kila wakati?
Na hiyo mall kwanza hata sio yao, it's owned by Botswana guy[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie ni kama mna mall moja tu hio Mlimani city. Kwa nini hio ndio mall mnayotaja kila wakati?
To mention just a few, there are also Rock city mall, aura mall, palm beach mall. Have a great night!
 
To mention just a few, there are also Rock city mall, aura mall, palm beach mall. Have a great night!
You are just listing wholesale shops instead of malls [emoji23][emoji23]
 
Watakuambia wanapiga shopping kariakoo hawana haja na Malls mingi[emoji1]
Muhimu kwetu ni masoko ambayo yanawapa ajira watanzania wa classes zote kufanya biashara na yanauza bidhaa zetu za ndani hasa zile za wajasiria Mali na wakulima wadogo.

Malls 85% ya bidhaa zinazouzwa ni imported, Kama ni bidhaa za ndani karibia zote zimetoka viwandani, mama mboga na vijana wa jua Kali hawana nafasi kwenye malls. Kenya hamuwathamini kabisa watu wenye kipato cha chini, huo ndio ukweli
 
Kuomba muda usongezwe mbele na kushindwa kulipa vitu viwili tofauti. Kenya is asking for time to be extended while Tanzania is asking for forgiveness [emoji23][emoji23][emoji23].
Ninyi ni masikini Sana, kila siku mnaomba kusamehewa kabisa deni lenu, lakini kwasababu serikali yenu ni "very corrupt" mnakosa vigezo vya kusamehewa madeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom