Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

imagine bro. what's the point of having a car then? kisha saa io umefika destination unaenda dukani kununua painkillers
vitu vya kawaida sana........kuwa na gari si kigezo cha kumfanya mtu aliendeshe kila siku acha ulimbukeni...na ushamba ndiyo maana huwa nakuitaga chokoraa...kumbe huwa sikosei kichwa chako hakina kitu kimejaa funza chokoraa lewis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jihurumie bro. kabla hujaanza kuitana mtu chokoraa, jiangalie kwanza unakaaje
20840962_1893152837678597_462168026223029113_n.jpg
 
bila shaka BRT ni project nzuri sana...ndio inatumika kote duniani kwa miji mikubwa kama london na New York......ila naona kwa sasa Light Rail ndio itajengwa Nairobi...our matatu sector is so developed such that many ppl will loose jobs if they were to be replaced by buses....the best thing is to ban matatus in CBD only and build stages outside of CBD where matatus will end their journey...from this stages, abiria will be ferried into the CBD with light rails...
ila vizuri pia inapendeza muwe na vyote vyote kama sisi yaani light rail na brt kama jinsi dar tulivyofanya.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kazi nje nje tu. Endelea kupiga domo.

TANGAZO LA KAZI ZA WADADISI (NAFASI 450)

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inawatangazia watanzania wenye sifa kuomba kazi ya muda ya udadisi au ukusanyaji wa takwimu nafasi 450 kwa ajili ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa mwaka 2017/18 (Household Budget Survey) utakaofanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara.

Barua ya maombi ya kazi itumwe kwenye Ofisi ya NBS ya Mkoa ambako unaishi. Maombi yanatakiwa yatumwe kabla ya tarehe 12 Agosti, 2017.

http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/tangazo/Tangazo_la_Kazi_Wadadisi(Nafasi 450).pdf
Jamani haya mambo yameishia wapi?
 
bila shaka BRT ni project nzuri sana...ndio inatumika kote duniani kwa miji mikubwa kama london na New York......ila naona kwa sasa Light Rail ndio itajengwa Nairobi...our matatu sector is so developed such that many ppl will loose jobs if they were to be replaced by buses....the best thing is to ban matatus in CBD only and build stages outside of CBD where matatus will end their journey...from this stages, abiria will be ferried into the CBD with light rails...
Sina mashaka na Jay kabisa...frankly speaking we jamaa uko poa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusimama ndio shidaangu

sent from iPhone 7
Colloh buses za BRT zina seat sema kwa vile mnapanda wengi na kushuka seat sio priority hapo...unawah town unaendelea inaendelea Mishe zako,kama key issue ya matatu ni mziki basi nyie mko nyuma sana,unataka kusikiliza mziki kwenye gari hauwez kua upo serious....mziki kawashe kwako Au nenda club..usafiri wa haraka uwahi michongo yako na kurudi ulipotoka we kama unafata bus sababu ya mziki na seat sehemu ya km 15 huo ni utoto as kiwango cha under 5

dahh umenifurahisha _sana wakenya wapuuzi sana type kama ya COLLO,LEWIS,OJAY,ELMATADOL.....yaani wanafuata mziki kwenye matatu...pia wanafuata na seats ndiyo maana mimi huwa nawaita wazee wamezeeka...da aisee kweli ni jobless people....ndiyo maana kwenye garden park wakenya wengi wanazagaazagaa ovyo kama mbuzi ....kisa mziki wa matatu usubuhi wanadandia na kwenda town bila ishu za msingi jioni wanarudi kwa slums zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom