nilimwambia asitumie maneno asiyoyajua meaning yake akakataa kusikia. mwache ajiaibishe
Umeona eeeeh!!
Tushindane na Nairobi but sio kwa style hii.
nilimwambia asitumie maneno asiyoyajua meaning yake akakataa kusikia. mwache ajiaibishe
Gari Moshi
Wewe huna exposure a.k.a Mshamba, hujawahi toka nje ya mipaka ya Kenya,hawa ni watu na heshima zao au ni maabusu.
upcoming millionare (in TzShs) aganza come here
View attachment 572990
uzuri wa brt,huwezi sikia upuuzi wa kunguni.hawa ni watu na heshima zao au ni maabusu.
upcoming millionare (in TzShs) aganza come here
View attachment 572990
piga picha stamp ya passport yako tuone umefika wapi na wapi.Wewe huna exposure a.k.a Mshamba, hujawahi toka nje ya mipaka ya Kenya,
Hao hapo wengiwameacha their private cars homena kuopt BRT.
kunguni ni uchafu wa mtu. kama hufanyi usafi, bila shaka kunguni watakuvamia tu. huyo dada alitoka na kunguni nyumbani kwakeuzuri wa brt,huwezi sikia upuuzi wa kunguni.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Unajua sababu ya kuacha magari nyumbani the only reason ni foleni sasa kama akipanda Brt anatumia dakika 10 na akienda na gari lake anatumia 1 hr huoni ame save timepiga picha stamp ya passport yako tuone umefika wapi na wapi.
unaweza kuacha gari lako mwenyewe nyumbani kisha kwenda kunukishana majasho na kupigana makumbo na vichwa kwenye public vehicle kweli??? are you serious???
Umelogwa wewe, yaani nikutumie passport yangu boya wewe..piga picha stamp ya passport yako tuone umefika wapi na wapi.
unaweza kuacha gari lako mwenyewe nyumbani kisha kwenda kunukishana majasho na kupigana makumbo na vichwa kwenye public vehicle kweli??? are you serious???
Crap!Unajua sababu yakuacha magari nyumbanithe only reason ni foleni sasa kama akipanda Brt anatumia dakika 10 na akienda na gari lake anatumia 1 hr huoni ame save time
tutajuaje kama umefika sehemu hizo zote kaka? toa passport yako, piga picha pages ziko na stamp uzianike hapa.... hata mm pia nitoe yangu nikuoneshe stampsUmelogwa wewe, yaani nikutumie passport yangu boya wewe..
Nimeshapiga misele Ulaya, Asia, Africa karibu nchi Tano tofauti na EAC, hapo nairobi nakuja Mara kwa Mara, Na mwezi ujao nakuja.
Vipi wewe?
Eti uache gari lako nyumbani uende kazini ukiwaumesimama kwenye hayo mabasi?that one does not make senseWewe huna exposure a.k.a Mshamba, hujawahi toka nje ya mipaka ya Kenya,
Hao hapo wengi wameacha their private cars home na kuopt BRT.
nyorosha hiyo nyang'au kaka....Umelogwa wewe, yaani nikutumie passport yangu boya wewe..
Nimeshapiga misele Ulaya, Asia, Africa karibu nchi Tano tofauti na EAC, hapo nairobi nakuja Mara kwa Mara, Na mwezi ujao nakuja.
Vipi wewe?
Kitu ambacho huelewi ni hizi BRT huokoa muda na gharama za mafuta kwenye jams,
Badala ya kuendesha gari yako KM30 unakaa 2hrs kwenye Jams na Kutumia mafuta mengi,
Unaweza commute Bus kwa 30mns ukifika CBD,
Pia sehemu hizi gari zinaanzia safari kuna parkings kabisa, watu huacha gari zao hapo..

Wengi wenu hapa ni washamba, u think having a second hand car from Japan is a very big deal.Eti uache gari lako nyumbani uende kazini ukiwaumesimama kwenye hayo mabasi?that one does not make sense
kunguni ni uchafu wa mtu. kama hufanyi usafi, bila shaka kunguni watakuvamia tu. huyo dada alitoka na kunguni nyumbani kwake
uzuri wa brt,huwezi sikia upuuzi wa kunguni.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wengi wenu hapa ni washamba, u think having a second hand car from Japan is a very big deal.

imagine bro. what's the point of having a car then? kisha saa io umefika destination unaenda dukani kununua painkillersEti uache gari lako nyumbani uende kazini ukiwaumesimama kwenye hayo mabasi?that one does not make sense
Nimeshagundua, wewe huna gari,imagine bro. what's the point of having a car then? kisha saa io umefika destination unaenda dukani kununua painkillers