Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio maana yake 75% ni farmers yani kwa kifupi watanzania wengi ni wakulima 😀😀😀😀😀
ndio maana unaona rate of unemployment ni ndogo sana na uzuri wakulima wanajulikana na serekali
khaa..we vipi.ebu angalia apa umesema nni
"my point is farmers are not employed wao wamejiajiri wenyewe 😀😀😀😀😀'
saa ii umegeuka unasema farmers are employed na wanajulikana na serikali so which is which?
 
nani amekwambia farmers are employed henu nioneshe comment niliosema hvo???
usichanganyikiwe ndugu😀😀😀😀😀😀😀
wewe umetoa hoja kua wakenya wengi wamejiajiri sasa na mm nakujibu wakulima ni wengi tanzania na hawajaajiriwa
 
hahahaa...so you mean 75% of tanzanians are unemployed?ebu kua makini ukijibu bana
 
we nlishakupuuza zamani....
Twende utaelewa tu

Kenya food inflation

upload_2017-7-28_15-16-7.png

Kenya Food Inflation | 2010-2017 | Data | Chart | Calendar | Forecast

Tanzania food inflation

upload_2017-7-28_15-19-5.png

Tanzania Food Inflation | 2010-2017 | Data | Chart | Calendar | Forecast
 
hahahaa...so you mean 75% of tanzanians are unemployed?ebu kua makini ukijibu bana
nimekwambia narudia kukwambia 75% tanzanians are farmers usiniambie mm kenya rate of unemployment ni kubwa kwasababu wengi wamejiajiri zikwapi hizo ajira wakati hazipo?????
tumia akili na uje na facts zeneye kueleweka 😀😀😀😀😀😀😀
 
kua mploe kijana...tunaenda na data ulizozileta mwenyewe sio zangu.now answer the question..do you mean 75% of tanzanians are unemployed
 
Do you look at the data you post, ama wewe ni kuangalia tu numbers.. una expect inflation percentage ikue almost similar na our GDP ni different... Ukiangalia hiyo table unaona inflation iliongezeka na kupungua at the same time. I can't?
 
hahahaa...so you mean 75% of tanzanians are unemployed?ebu kua makini ukijibu bana
let me help you Saadeque. I hope you did Maths. for those who are classified as unemployed 75% are farmers. If we say 20% are unempled, make it a 100% and 75% of the pie are farmers. sawa msee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kua mploe kijana...tunaenda na data ulizozileta mwenyewe sio zangu.now answer the question..do you mean 75% of tanzanians are unemployed

Tanzania kazi nje nje tu. Endelea kupiga domo.

TANGAZO LA KAZI ZA WADADISI (NAFASI 450)

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inawatangazia watanzania wenye sifa kuomba kazi ya muda ya udadisi au ukusanyaji wa takwimu nafasi 450 kwa ajili ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa mwaka 2017/18 (Household Budget Survey) utakaofanyika katika mikoa yote ya Tanzania Bara.

Barua ya maombi ya kazi itumwe kwenye Ofisi ya NBS ya Mkoa ambako unaishi. Maombi yanatakiwa yatumwe kabla ya tarehe 12 Agosti, 2017.

http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/tangazo/Tangazo_la_Kazi_Wadadisi(Nafasi 450).pdf
 
kua mploe kijana...tunaenda na data ulizozileta mwenyewe sio zangu.now answer the question..do you mean 75% of tanzanians are unemployed
unajua nimekwambia most ot tanzanians are farmers na wanajulikana na serekali na ndio maana hawawekwi kama unemployed people japokua wamejiajiri wao na serekali inawajua through bank loans na njia zingine
so mm nataka ukubali kua 40% of kenyans hawana ajira na ukiniambia kua wamejiajiri inamaana serekali haijui chochote kuhusu raia wake na hizo shirikia za dunia hazijui sawa?????
 
let me help you Saadeque. I hope you did Maths. for those who are classified as unemployed 75% are farmers. If we say 20% are unempled, make it a 100% and 75% of the pie are farmers. sawa msee

Sent using Jamii Forums mobile app
now ukisema ivi utaeleweka.mwenzako alikua amesema 75% ya tanzanians are farmers..am sure you can see the diffrence there
 
let me help you Saadeque. I hope you did Maths. for those who are classified as unemployed 75% are farmers. If we say 20% are unempled, make it a 100% and 75% of the pie are farmers. sawa msee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungesaidia Ichoboy na si ukweli at ni 75% ya umeployed ni farmers... Agriculture employs 75% of the workforce. Farming ni employment kama kazi zingine tu.
 
unajua nimekwambia most ot tanzanians are farmers na wanajulikana na serekali na ndio maana hawawekwi kama unemployed people japokua wamejiajiri wao na serekali inawajua through bank loans na njia zingine
so mm nataka ukubali kua 40% of kenyans hawana ajira na ukiniambia kua wamejiajiri inamaana serekali haijui chochote kuhusu raia wake na hizo shirikia za dunia hazijui sawa?????
mwenzako
Pazii amesema vizuri nkamuelewa sana.wewe unashindwa kujieleza ueleweke.na amesema vizuri farmers informal.sawa mzee
 
Do you look at the data you post, ama wewe ni kuangalia tu numbers.. una expect inflation percentage ikue almost similar na our GDP ni different... Ukiangalia hiyo table unaona inflation iliongezeka na kupungua at the same time. I can't?
Inflation my friend does not depend on GDP kama unabisha nikuletee iflation ya nchi zenye GDP kubwa uone. Acha kutoa povu. I know what am doing. Hapo inamaanisha Kenya ni maisha magumu sana. We are talking about food inflation.
1. Unemployment
2. Expensive food
Uchumi uko kwa wachache.
Food inflation (France) Compare with your poor country

upload_2017-7-28_15-33-15.png

France Food Inflation | 1991-2017 | Data | Chart | Calendar | Forecast
 
Back
Top Bottom