tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Unapoteza muda kumuelimisha mtu asieelewa...anasema bongo hakuna magari hahahaha fala ni fala tu *****Nimeshagundua, wewe huna gari,
Una ndoto ya kumiliki gari, anyway, ukishakuwa na Gari utagundua wala sio big deal, siku ukiwa na safari ya haraka na hutaki kero za kutafuta parking especially kwenye mini yetu hii kama kariakoo basi utaacha na kutumia BRT au Uber.
Kwa wale wanafanya kazi Posta na wanaishi Kimara, mbezi au Kinondoni au Mikocheni wameshaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app