Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisha hii hapa ni SGR phase 2....hela tayari zipo...tunasubiri jamaa aapishwe aendelee na kazi...kenyatta by the time anamaliza sijui...wacha tu nisiseme
cip_train-station-1000.jpg
CVj-EI3UEAAZX2Y.jpg
 
kisha hii hapa ni SGR phase 2....hela tayari zipo...tunasubiri jamaa aapishwe aendelee na kazi...kenyatta by the time anamaliza sijui...wacha tu nisiseme
cip_train-station-1000.jpg
CVj-EI3UEAAZX2Y.jpg
safi sana .....wakenya wenzako waliopo humu wangekuwa na akili kama yako tungepongezana maana ni wapumbavu sana.....hongereni sana tunahitaji east africa tuwe vizuri ......hawa wa centre wasituguse kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuko pamoja bro.... tufanye battle kwa utaratibu...waone hawa wenzetu...
UHURU-MAGUFULI-MARGARET.jpg
 
apana tulia wacha pupa mkuu.....hata sisi mlipoanza BRT tulishangazwa ila ona mpo nayo tayari...reli ya SGR tulipofanya plans ilikuwa nikama ndoto ila kwa sasa mtindo ni huu...sasa hakuna mambo ya 2040...hapa kazi tu
nbi4.jpg
1572083_0.jpg
1573050.jpg
Nf5RgRMb.jpg
station.jpg
images
sgr7.jpg
hahahah kwan nani hawajengi SGR nchi zote EA zinajenga SGR tena modern zaidi ya kenya😀😀😀
so hakuna kigeni hapo
 
Back
Top Bottom