Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
😂😂😂😂
Na waarabu nao wanataka walipwe kwa yuan mda sio mrefu
😂😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Licha ya make up lkn mauchafu hayawezi kukaa mbali na ka Nairobi.View attachment 2171291
Kwamba Burundi imeizidi Ethiopia? Huyo hayawani ameleta hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Blogs dont have news of their own they always report from a source.Jamaa kanaleta blog[emoji23][emoji23][emoji23]. So blog is your trusted source?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu hawachafuliwi kwa mambo ya kusingiziwa ni kwamba wabongo wameamua kuyaanika hadharani maovu yao.Huyo huwa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz, huyo ni miongoni mwa wakunya waliokuwa wanakesha wikipedia kuichafua Tanzania ila kwa sasa wabongo nao wameanza kuichafua Kenya ktk kila angle na ndiyo maana wanaumia. Wana roho mbaya sana hawa mbwa.
Technology ya kizamani hyo, dunia ya sasa inaenda na mwendo wa spider [emoji2765][emoji2764] ona hii hapa [emoji116][emoji116]
Nzuri sana. Ila jitahidi kutokupiga picha za watu na kuzileta hapa jukwaani bila ridhaa yao. Weka picha za vitu na siyo watu ndg.I [emoji991]
[emoji540] Savanah Plains High School
[emoji617] Shinyanga
View attachment 2171426
View attachment 2171427
View attachment 2171428
View attachment 2171430
View attachment 2171431
View attachment 2171432
View attachment 2171433
View attachment 2171434
View attachment 2171435
hakika 'kukunia' ni kiswahili cha kikenya tena mufti na sanifu, ata muulize Tony254 .. kwani bongo huwaga mnasemangaje? 'kukunya'.. ama?Kukunia ndio nini?
Blogs are unreliable, let's make it as simple as that.Blogs dont have news of their own they always report from a source.
na wao ndo walifanya kenya kua dominant na ikalie nchi zote za eastern africa hadi waleo.. inasemekana nairobi modernity ilikua ina grow pamoja na london at the wake of the 20th century. ndo maana ata mw. j.nyerere kaitaja nairobi kama 'london' kwa wakati mojaKenya kila kitu lazima wataje wazungu, kwao wazungu ni zaidi ya Mungu
california dreaming....
Hivi nani kakuuzia bangi ya Gabon? Inakuharibu ubongo sana. Hii mission ilifanyika last year November tena niliitazama live kwenye youtube.unaniletea mambo ya future plan budaa 🤣
source 'citizen newspaper' tanzania........ una expect nini.!?Kwasababu haija mention Kenya, huu ndiyo ukweli yn hakuna airport hapa EA iko busy kuliko hizi mbili za Dar na Zanzibar hata wewe mwenyewe unalijua hilo[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Top 10 Busiest Airports In Africa (2022) - TheDailysBlog
The top 10 BUSIEST AIRPORTS IN AFRICA are 1. Oliver Reginald Tambo International Airport (South Africa) 2. Cairo International Airport, Egypt ...thedailysblog.com