joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Is Tundu Lisu rich?Tundu Lissu
Magufuli
Is Tundu Lisu rich?Tundu Lissu
Magufuli
Ukitaka kubebwa na SGR saa hizi 21:34 sa hii tunaongea apa EAC yani lazima uje Kenya.Acha utani hiyo Siyo SGR
Kwa ile garimoshi la mchina ambalo likitembea linalia pa-pa-pa sio?Ukitaka kubebwa na SGR saa hizi 21:34 sa hii tunaongea apa EAC yani lazima uje Kenya.
Ukija Kenya sa hii by kesho jioni ukirudi kulala temeke utakua umebebwa na SGR
even if not rich, but prominentIs Tundu Lisu rich?
Mazingira yake masafi sana yanavutia siyo kama ule uchafu wa wale jamaa. Ingekuwa zamani wameshahamisha na kutengeneza viblog uchwara kwamba ni kwao.Kilimanjaro International Airport
Twiga Lounge [emoji3575]
View attachment 2170770
View attachment 2170771
View attachment 2170772
View attachment 2170773
View attachment 2170774
View attachment 2170775
View attachment 2170777
View attachment 2170778
View attachment 2170779
View attachment 2170780
Kwamba nchi ina uchumi mkubwa....inapoishia sasa[emoji174]
View attachment 2170803
Kuna sehemu hata mimi nimeisoma hii habari kwenye opera. Itakuwa ni kweli kuna vipo kwa ground vinaandaliwaView attachment 2170834
Msimbazi kuiacha mdomo wazi ile park ya NBO..kuna mtu ameshea kwny group langu moja siko sure na its legit! Ukweli utajulikana soon
Ni MGR kama Tazara tu, zimetofautiana kdg sn ila design yake, hata aina ya engines zinazo operate ni za aina moja.Ni baiskeli basi
Point of correction, an upgrade Tz mgr , by the way Tz mgr its even way smooth compare to that shithole of yoursKenya is the only country in East Africa Community with SGR.
Ticket za SGR zinapatikana Kenya pekee ndani ya EAC
unajua ni kwanin vilitokea mpaka wakamwaga damu, na kwa huko kwenu kenya kilichofanya mmwage dam ni nini?Vita vya maji maji mlipigana na Germans. Nyinyi hamkumwaga damu dhidi ya British ambao ndio waliowapatia uhuru wenu bure bila kumwaga damu.
Cc Lusematic
kabisa huo ndiyo ukweliBritish walitoa Uhuru bila vita kwasababu reasoning na negotiation skills zetu kwa wa British na league of nations ilikuwa ya hali ya juu sana unlike other African countries yours included who were bush minded with no high class reasoning and negotiation skills. Hapo lazima mtuogope IQ yetu ni kubwa sana kuliko yenu.
Kwani Kenya Kuna SGR?[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka kubebwa na SGR saa hizi 21:34 sa hii tunaongea apa EAC yani lazima uje Kenya.
Ukija Kenya sa hii by kesho jioni ukirudi kulala temeke utakua umebebwa na SGR
Kwenye sekta ya afya tushaacha kuizungumzia, ni gape kubwa.Mtajiconsole tu kwenye vidata na vijarida uchwara lakini kwa ground kunyaland ni takataka
2nd hospital to do bonemarrow transplant huku kunyaland haijawahi kusikia wala kuona kitu kama hicho [emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2170299
hii KIA ni kiboko yaani ukikaa hapo unafeel upo home kabisaKilimanjaro International Airport
Twiga Lounge [emoji3575]
View attachment 2170770
View attachment 2170771
View attachment 2170772
View attachment 2170773
View attachment 2170774
View attachment 2170775
View attachment 2170777
View attachment 2170778
View attachment 2170779
View attachment 2170780
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] point imekwama mzee chakaniinapoishia sasa[emoji174]
View attachment 2170803
Public hospitals vs Private hospitals, kweli Tz ya ss ni noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unasema nini wewe na hii hapa ni Amref Hospital in nairobi, infact The Mater Hospital inapokea wagonjwa wa moyo as far as from namibia, botswana, cameron etc etc ...... google please..
amref hospital, nairobi[emoji1427]View attachment 2170465View attachment 2170463View attachment 2170462View attachment 2170464
kumekuchaView attachment 2170834
Msimbazi kuiacha mdomo wazi ile park ya NBO..kuna mtu ameshea kwny group langu moja siko sure na its legit! Ukweli utajulikana soon