Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Napenda ukiwa unaongea kwa uchungu kama hivi, inaonesha jinsi gani sindano imepenya, but again, wewe huwa ni mtu wa kusahau sahau sn, yn tayari ushasahau kwamba hyo ni Dodoma na hapo bado inajengwa toka mwaka 2016, yn ushasahau bado kuna majengo yanaendelea kujengwa now unataka pawe na lami, yani tuweke lami wkt ujenzi wa majengo haujaisha

Wivu umemfanya asione kuwa ujenzi bado unaendelea hapo.
 
A reason why aircraft diversion from JKIA go to KIA and not Moi Airport

NOTE:
Kisumu airport capacity is 250,000 PAX per annum!

With a PAX of over 500,000. JNIA has a capacity of 7M but PAX is 2.5M. Kama huko na akili you should understand what I'm trying to say 😂😂😂
 
FOxua3AXoAMZ4pf

MY TAKE
Kunyaland jengo kama hili huitwa hospitali mpya!
 
Napenda ukiwa unaongea kwa uchungu kama hivi, inaonesha jinsi gani sindano imepenya, but again, wewe huwa ni mtu wa kusahau sahau sn, yn tayari ushasahau kwamba hyo ni Dodoma na hapo bado inajengwa toka mwaka 2016, yn ushasahau bado kuna majengo yanaendelea kujengwa now unataka pawe na lami, yani tuweke lami wkt ujenzi wa majengo haujaisha
Unaona hii ni barabara ya lami in fact ni dual carriageway inapitia Kibera slum.

FOxVcRRXEAcl50c.jpeg

download (4).jpeg
 
Back
Top Bottom