Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kelele nyingi lakini mchango wa muhimu huna. Toa suggestion za ku-attract foreign investors kama jinsi Kenya wanavyofanya ama zaidi yao ikiwezekana.

Tuna tech district (Silicon Dar) ambayo ingeweza kuleta manufaa Mengi tu kama foreign tech companies such as Microsoft zingejiunga nasi.
Tatizo lako ww huwa unapenda sn makuu kuliko uhalisia, Africa tunahitaji mambo mengi ya msingi kabla ya kufanya hayo unayosema ww mzee wa kususa.
 
Tanzania needs to wake up. How do we attract foreign firms the way Kenya does?

In Tanzania we are going to have this 👇

Screenshot_20220325-195326.png

Screenshot_20220325-195551.png

Screenshot_20220326-083533.png
 
Tanzania needs to wake up. How do we attract foreign firms the way Kenya does?

Lazima ujue kuwa, hizi centre zinazo pachikwa nairobi zinapachikwa kimkakati, sio kwamba eti wao ni wazima sana katika kuattract investors, NO. Kuna nchi kama South Africa, Morocco, Algeria, Egypt ambazo zina infrastructures za kutosha na kila aina ya uwezo kuhost facilities hizo, so why Nairobi?

Leo ndio nimejua wewe hamna kitu Kichwani.

Jibu la hilo swali ni simple tu: Kenya is a reliable surrogate state of western imperialists.
 
yani hakuna siku mtanzania atapea kenya credit ata sikumoja.. may be tuusan, @sunken fallacy cost na Walker255 tu.!
 
Lazima ujue kuwa, hizi centre zinazo pachikwa nairobi zinapachikwa kimkakati, sio kwamba eti wao ni wazima sana katika kuattract investors, NO. Kuna nchi kama South Africa, Morocco, Algeria, Egypt ambazo zina infrastructures za kutosha na kila aina ya uwezo kuhost facilities hizo, so why Nairobi?

Leo ndio nimejua wewe hamna kitu Kichwani.

Jibu la hilo swali ni simple tu: Kenya is a reliable surrogate state of western imperialists.
Tatizo la mzee wa kususa huwa anataka kila kinachofanyika Ulaya kifanyike na huku pasipo kuangalia scale of preference.
 
wazee wa propaganda watakwambia russia anatumia silaha za zamani 😂😂😂
 
Back
Top Bottom