Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,653
Hawa wazee wa gdp sijui lini wataamka.
Vipi Serikali yenye GDP kubwa haitoi food handouts huko ama vipi?
kiduku anawafanya wanahara 😂😂😂
Meanwhile our friends in Kenya are already doing what you say “shouldn’t be done now” because we have more important things to focus on. Mentality ya vichekesho hii! CCM iko kadarakani miaka yote hii na hakuna mtu yeyote mwingine wa ku-blame kuhusu matatizo basic kama maji, umeme na huduma za afya. Never underestimate the power of technology. Teknologia ni moja ya vitu ambavyo vitaisaidia sana Afrika na kama tukiingia kwenye ulingo wa tech mapema, nina uhakika tutafika mbele Kwa spidi is iyo ya kawaida.Tatizo lako ww huwa unapenda sn makuu kuliko uhalisia, Africa tunahitaji mambo mengi ya msingi kabla ya kufanya hayo unayosema ww mzee wa kususa.
so nikishajua bei ndio inakuaje ??Unajua bei ya F35A moja?
GDP ipo kwenye makaratasi wanasubiri siku itakua halisi ndio hawatakufa njaa tena 🤣Vipi Serikali yenye GDP kubwa haitoi food handouts huko ama vipi?
There goes my answer! It’s funny that among the countries with sufficient, reliable infrastructures that you’ve listed, Tanzania is not one of them. Meaning we’re certainly not in any position to compete with our neighbors in terms of attracting foreign investmens!Lazima ujue kuwa, hizi centre zinazo pachikwa nairobi zinapachikwa kimkakati, sio kwamba eti wao ni wazima sana katika kuattract investors, NO. Kuna nchi kama South Africa, Morocco, Algeria, Egypt ambazo zina infrastructures za kutosha na kila aina ya uwezo kuhost facilities hizo, so why Nairobi?
Leo ndio nimejua wewe hamna kitu Kichwani.
Jibu la hilo swali ni simple tu: Kenya is a reliable surrogate state of western imperialists.
Give us the figures of FDI for Kenya and Tanzania 2020/2021, Kenya is not even 50% of that of Tanzania, for the year 2021, USA alone invested $1.5B in Tanzania, Kenya only $353M, do your research before you post/ reply to anythingTanzania needs to wake up. How do we attract foreign firms the way Kenya does?
USA invested in mining which the revenue will be taken to US while in Kenya they have invested in IT which is going to benefit Kenya seriously. Have you ever wondered why out of $3B gold you export your government only received $40M ?Give us the figures of FDI for Kenya and Tanzania 2020/2021, Kenya is not even 50% of that of Tanzania, for the year 2021, USA alone invested $1.5B in Tanzania, Kenya only $353M, do your research before you post/ reply to anything


