Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona huwa mkitembea Kenya mnarudi kwenu kujisifu kwa mumetembea Kenya?
Mimi nikifika Kenya ninahisi Kama Nipo Somalia, ninakosa Amani kabisa, ninahisi wakati wowote kuvamiwa na wakora, kutekwa na polisi au shambulizi la Alshababs.

Jambo lingine linalonisikitisha Sana ni polisi wenu kusimamisha gari (Private cars) na kuomba omba vitu vidogo vidogo Kama wines, Bia na rushwa ndogo ndogo.
 
kweli tanganyika hakuna slums

Screenshot_20220326-092810_Google.jpg
 
Kwanini mnaogopa kuweka picha zenye muonekano wa karibu ili mitaa ionekane vizuri?, Utawezaje kujua Kama Kuna slums Kama Nyumba na mitaa haipo "clearly visible?", Mbona tukiweka picha za Kibera hadi mbwa na uchafu vinaonekana?
Hii ni picha ya mbali bongolala?
2209114_tapatalk_1567199234954~2.jpg

Ama unataka picha zinazoonyesha hadi ndani ya hizo midreamouses?

Umesahu kuna wakati mlikuwa mkikana hizi si picha za Dar until you could deny no more?
 
Say no more. Your request has been heard.

View attachment 2164606
Hahahaha, mbona mnaogopa ukweli?, Hii picha unaweza kumuona mtu, au hata pikipiki achilia mbali kumuona mnyama Kama mbwa au kuku?, Unaweza kuona Kama Nyumba Iko na madirisha au Kuta zake Kama zimejengwa kwa tofali au bati?, Wacheni woga, weka picha za kariibu, "Horizontal views" ili tuone details za Nyumba, mitaa na mazingira ya eneo husika?
 
Huwa mnaita mitaa kama Githurai below kwamba ni slum
FB_IMG_1648277131220.jpg

Sasa kati ya Githurai na huu mtaa wa Dar ni gani slum hata kwa kuangalia tu?
images (23).jpeg
 
Mimi nikifika Kenya ninahisi Kama Nipo Somalia, ninakosa Amani kabisa, ninahisi wakati wowote kuvamiwa na wakora, kutekwa na polisi au shambulizi la Alshababs.

Jambo lingine linalonisikitisha Sana ni polisi wenu kusimamisha gari (Private cars) na kuomba omba vitu vidogo vidogo Kama wines, Bia na rushwa ndogo ndogo.
Hahaha nigga just just the fck up,Kenya is one of the most chilled area code.i see so many Tz,Ug n Sudan number plates and no one cares.on the other hand when we want to visit Tz with our personal cars you become a marked man, you'll practically be stopped everywhere,shitty neighbors.
 
Back
Top Bottom