Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uwanja unaotumia kati ya Kongo na Morroco, ni wa wapi?

Pitch iko vizuri sana Taifa tunafeli wapi, yaani taifa hata misitari mieupe haionekani vizuri.

We can do, even kuweka adboard mbona azam kaweza.
Heheheheeee wewe jamaa hii co Manchester united special thread tafadhali sn, hapa hakuna kosi la dunia, hapa tunapigania nchi bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The average residential area in Dar
2209114_tapatalk_1567199234954.jpg


An aerial view of Eastlands, Nairobi
1897842_14805094921_dca5f4d18b_b.jpg


The difference is like day and night
 
The average residential area in Dar
View attachment 2164420

An aerial view of Eastlands, Nairobi View attachment 2164421

The difference is like day and night
Ukizoom panakaa hivi, aya onesha slum hapo, Yani Wakunya mtapata tabu sana kutafuta slums Tz, jibu ni kwamba hakuna slums Tz [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1962921426.jpg
 
Hao wanyama wamejengewa barabara na miundombinu ambazo ni ndoto kwa wanadamu wengi sehemu nyingi Tanganyika
Onesha mazingira yao wanapoishi kama kweli una kende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom