Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
Hata mimi nashangaa. Wafungue thread ya Ukraine - Russia war wajadiliane hukoHivi hili jukwaa limegeuswa la Ukr vs Russia War au?
Mnaotaka kuonyesha developmentsz za matukio ya umwamba wa vita za pande mnazoshabikia nendeni Jukwaa la Kimataifa,kuna special thread kwa ajili ya vita huko.
Mumeanza kukera hasa huyo ichoboy ambae ni Babu anaejiita boy.