Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Elewa somo kwanza, alafu na ww fanya research yako upinge hii dataView attachment 2162945
Hivi karibuni naona ukiovertake ichoboy01 to become the most foolish person in this thread. Here's a report on Tanzanian cement production compared to Kenya's. Remember ya Tz ni 2021 lakini ya Kenya ni 2020.

14126394_cement_jpg2858857d473734f1fccd09bad394a387.jpg
View attachment 2162958
 
Tanzania only produces 6.5M tonnes of cement. Kenya is producing 7.4M.

Screenshot_20220324-162044.jpg
 
🤣🤣🤣

You're clearly not an engineer.
Apartments are waaaaay more expensive than bungalows bro.
Wewe jamaa mwehu kweli, stand-alone houses za watu 1000 kila moja inahitaji landscaping yake separately, sewage systems, wiring, plumbing, fencing, roofing, security etc everything separate tofauti na apartments za watu 1000 ambapo vyote hivi vipo shared within 1 compound

Sasa itakuaje gharama/vifaa za ujenzi zifanane?
 
According to KNBS, we kweli mwehu, pinga data hii hapa View attachment 2162966
Ingekuwa unajua kusoma na kuelewa kingereza hungepost hiyo takataka. Do you understand the meaning of the word "expected" ? What you are posting are dreams while what I'm posting is actual things which has already happened.

Your cement production is 6.5M and consumption is still at 5M as at 2021.

Tanzania-Cement-Production-2015-2021.jpg
 
Ingekuwa unajua kusoma na kuelewa kingereza hungepost hiyo takataka. Do you understand the meaning of the word "expected" ? What you are posting are dreams while what I'm posting is actual things which has already happened.

Your cement production is 6.5M and consumption is still at 5M as at 2021.

View attachment 2162969
Kwenye investment tumewazidi $10bn na hapo kuna miradi kadhaa haijawa included kama SGR phase 3&4, yn hapa ikiletwa Total figure ya investment baina ya hizi nchi mbili basi moja itaachwa kwa gape kubwa sana

I told you that you are a fool. Link umepost is saying that your SGR phase I and II costed $14B. Kwa hiyo kichwa yako kubwa do you think that's correct?

Screenshot_20220324-164017.jpg
 
Ngoja nikuulize swali, hivi wewe unataka kusema Kenya ipo mbele ya Tz kwenye cement consumption je mnajenga nn hasa cha kuizidi Tz hebu niambie ili nisikuite cartoon
LAPSSET alone consumes more cement than what all projects in Tz can do.
 
I know inakuuma that our cement consumption and production is much bigger than ya Tz.

View attachment 2162977View attachment 2162976
Kitu gani mnachojenga ili kitumie cement nyingi kuliko Tz. Kwa upande wa Tz ni haki yake kuongoza the region cz ina miradi mingi mikubwa mfano Dodoma city, JNHPP, SGR, ujenzi wa Airpot kubwa kule Dodoma(Msalato Airpot), ujenzi wa ports kama Dar, Tanga, Mtwara na ya kule Kigoma kama sikosei, ujenzi wa madaraja makubwa mfano Tanzanite, Kigamboni, Kigongo Busisi, Pangani n.k, ss nyie mnajenga nn hasa ili kizidi matumizi ya cement kwenye hiyo miradi niliyokutajia.
 
Back
Top Bottom