Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Tanzania is not the biggest exporter in East Africa. Remember Tanzania only export $811M to East African countries while Kenya Export $1.4B.You will continue with your dream while Tanzania takes over the whole East Africa by storm, remember Tanzania is the biggest Exporter to all countries in East and central Africa, including Kunyaland, we export more than what you sell to us, and the trend will get worse on your side this year[emoji28][emoji28][emoji28]
Mh wewe unayo hapo home sio? [emoji1787][emoji1787]Hayo mafuta ni mazuri sana kwa kukamua ng'ombe na wanaume wanayapenda sana.
Tanzania is not the biggest exporter in East Africa. Remember Tanzania only export $811M to East African countries while Kenya Export $1.4B.
Hivi kwanini Dangote hataki kuwekeza Kenya?[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeshinda nikisema kwamba Nigeria ni uchumi mkubwa lakini baadhi ya Watanzania wamekuwa wakipingana na mimi. Jana Dangote Fertilizer plant imezinduliwa rasmi. Hii ndio the biggest fertilizer plant in Africa. Baadaye Dangote refinery ambayo itakuwa the biggest refinery in Africa pia itazinduliwa.
Mimi nimeshinda nikisema kwamba Nigeria ni uchumi mkubwa lakini baadhi ya Watanzania wamekuwa wakipingana na mimi. Jana Dangote Fertilizer plant imezinduliwa rasmi. Hii ndio the biggest fertilizer plant in Africa. Baadaye Dangote refinery ambayo itakuwa the biggest refinery in Africa pia itazinduliwa.
Meanwhile in reality: