Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie Watanzania masikini wa Mungu mumewekeza pesa ngapi Kenya?
Hampendi investments toka Tanzania huo ndio ukweli mchungu mnaogopa doninance ya Tanzanian products on your market.

Screenshot_20220325-064543_Opera.jpg
 
😛
QS haya mambo huyawezi, bora ukae kimya.
Maana umeanza kuongea kitu usichokijua.

Endelea kuamini hivyo hivyo kwamba ki unit in a block of flats is more valuable than the isolated bungalow in a spacious plot.

Heeeheeee
Umeingilia mjadala ambao huelewi Bradhee. Nani ameongelea unit Na value? Hui ndio Shifa ya watu wako na kiherehere.🤣🤣🤣🚮🚮🚮
 
Hivi hili jukwaa limegeuswa la Ukr vs Russia War au?

Mnaotaka kuonyesha developmentsz za matukio ya umwamba wa vita za pande mnazoshabikia nendeni Jukwaa la Kimataifa,kuna special thread kwa ajili ya vita huko.

Mumeanza kukera hasa huyo ichoboy ambae ni Babu anaejiita boy.
 
Hivi hamna mtanzania native mmoja tajiri mnaweza jivunia kila saa Waarabu na Wahindi tu.
Ukabila tulikuachieni nyie msiokuwa na elimu, sisi huku hata baba ako na mamaako wakitokea Kunyaland lkn ukazaliwa Tz we count you as a Tanzanian, kumbuka kuna mtu anaitwa Mungai tulimpa mpk uwaziri lkn asili yake ni Kenya, na huyu Mungai ndiye aliyehusika na kuiyumbisha elimu yetu.
 
Back
Top Bottom