Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo yakienda vizuri tunaweza kuona
BRT Phase 3 ikianza kujengwa Quater ya Mwisho ya 2022

BRT Phase 4 inaweza ikaanza 2023

Na phase 5.. 2024

Plus SGR ya commuter trains within Dar

Plus 2x2 road Morroco hadi Kawe ..
Screenshot_20220325-112357_Chrome.jpg
 
Kwanini mkionesha Northern Kenya hasa Lodwar huwa mnsonesha barabara pekee? Au hakuna watu wanaishi huko?

Alafu ulivyo mpumbavu unalalamika eti wabongo tunasema hakuna road huko, Yani ushasahau kwamba hyo road imekamilika mwaka huu
This road starts in Kitale and ends in Lokichogio and was completed last year. Shida yako iko wapi bongolala even if it was completed this morning?
 
Yaani jamaa anajitahidi kutafuta pich mbaya mbya za bongo akizipata anakuta eneo linajengwa alafu anajifanya kama vile haoni...... hajui kuwa TANZANIA nzima inajengwa kila sehem sio DAR TU kama wao nairobi
Turbi - Moyale road in Moyale County, northern Kenya
CwkvN3ZWgAASPHl.jpeg


Isiolo - Marsabit road, Marsabit County in northern Kenya
Marsabit-Turbi-Road-608x321.jpg


More roads in northern Kenya
WXpUR4rh.jpg
ED_1g6DWsAUllr_.jpeg
ED_1fUSXYAIbzI7.jpeg


Sorry,,,, I forgot to mention that Moyale, Marsabit and Isiolo are all in Nairobi!
 


Kenya haiwezi shindana na Tanzania, wacha kupika data na uanze kukubaliana na ukweli, punguzeni ujinga
Kenya is the biggest exporter in East Africa. Shida yako huwa unaongea bila evidence.

This is Kenya exporting $1.4B to East African countries while Tz export is at $811M

Screenshot_20220325-151355.png


Screenshot_20220325-151953.png
 
Ukabila tulikuachieni nyie msiokuwa na elimu, sisi huku hata baba ako na mamaako wakitokea Kunyaland lkn ukazaliwa Tz we count you as a Tanzanian, kumbuka kuna mtu anaitwa Mungai tulimpa mpk uwaziri lkn asili yake ni Kenya, na huyu Mungai ndiye aliyehusika na kuiyumbisha elimu yetu.
Mimi nina washikaji wangu ambao baba na mama yao ni wakenya (Surname yao ni Barasa or Kakai- sijui hata nikabila gani huko Kenya) waliohamia Tz long time ago na wamefanya kazi hapa TZ mpaka wamestaafu. Hao washikaji wote wamezaliwa Tz na ni watz kwa kuzaliwa (by birth), hata huko kenya hawapajui. Kwetu sisi ni watanzania wenzetu na wana haki zote kama sisi wengine. Hatuwabagui kwa sababu ya asili ya wazazi wao japo wazazi wao ni retired na hawana uraia wa Tz labda kama wameomba mwaka huu. HAKUNA UKABILA TZ KAMA NCHI.
 
Hivi kwanini Dangote hataki kuwekeza Kenya?
Same bureaucracy iliyowakumba investors from Tanzania. In short Kenyans dont like competition or rather their leaders have declared interests in those kind of investments.

Imagine ASAS aende ku invest Kenya kwenye milk business hiyo nduru utakayosikia lazima uondoke kwenye soko lao a good example ni South African breweries walipofungua brewery ya Castle Lager in Thika the government waliwanyima kununua ngano kwenye local market na wakaweka stringent procedures za ku import ngano from abroad matokeo yake wakashindwa kufanya biashara wakatoka Kenya through a share swap in Tanzania Breweries.
 
Ngombe watoe wapi hao na ukame kila mahali. Brokerage economic system ndio wanayo tuu hapo.
and now this is what is almost always usually referred to as what i realy luv ❤ most... ie. jealously from the other end..
 
Back
Top Bottom