Wakati mwingi mko na porojo sana., mere opinions and attacking Kenya with exaggerations na kujitia hamnazo just to feel good


, ujinga na utoto, na kupinga credible sources wakati inawaumbua, wengi you are merely blind patriots.,
Infact what u are talking about wasn't the issue eti 3 level interchange, BRT, what the F***




, ni mapema lakini kojoa ulale tu, naona bado wewe ni kilaza ule ule


Alafu na wewe wacha ushamba, hakuna kitu kinaitwa electrical SGR. Yaani standard gauge rail ya umeme, ni gani hiyo nionyeshe namimi nishuhudie?., nikama kusema electrical expressway, expressway ni barabara tu, lakini magari ya umeme yanaweza kupita pale na ya fuel



, So ni electric locomotives ambazo bado hamuna, zitatumika kwa SGR, kando yake mmeweka line za umeme ku support electric locomotives.., rogar that mshamba?



