Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati mwingi mko na porojo sana., mere opinions and attacking Kenya with exaggerations na kujitia hamnazo just to feel good, ujinga na utoto, na kupinga credible sources wakati inawaumbua, wengi you are merely blind patriots.,
Infact what u are talking about wasn't the issue eti 3 level interchange, BRT, what the F***, ni mapema lakini kojoa ulale tu, naona bado wewe ni kilaza ule ule

Alafu na wewe wacha ushamba, hakuna kitu kinaitwa electrical SGR. Yaani standard gauge rail ya umeme, ni gani hiyo nionyeshe namimi nishuhudie?., nikama kusema electrical expressway, expressway ni barabara tu, lakini magari ya umeme yanaweza kupita pale na ya fuel, So ni electric locomotives ambazo bado hamuna, zitatumika kwa SGR, kando yake mmeweka line za umeme ku support electric locomotives.., rogar that mshamba?
Ukimaliza kulia nakukumbusha kwamba hamna electrifitried SGR
 
Mngekuwa na elimu bora your parliament haingekuwa designed by Kenyans. Mngekuwa na elimu bora TPA haingekuwa designed by Kenyans, mngekuwa na elimu bora meli zenu hazingejengwa na wakenya plus Chinese, mngekuwa na elimu bora shule Bora Tanzania hazingekuwa na walimu kutoka Kenya. Mngekuwa na elimu bora Palm Village mall haingekuwa managed by a Kenyan. Last but not least, mngekuwa na elimu bora Rock City Mall haingekuwa designed by Kenyans
Heheheeee hiki kilio chote ni kwasababu ya ukweli kwamba tuna elimu bora kuwazidi? Eti sisi tutoe pesa zetu tulete engineers wa kikunya, hayo majengo yangesha poromoka hivi leo
 
Sasa ninyi hamna reli ya umeme hanuwezi kujua lolote, subiri mtakuja kuona kwanini inaitwa "Electric SGR", kiukweli ni kwamba, wakati train inapita, kipande cha reli pia kinapitisha umeme, sio locomotives pekee. Ninyi mumejenga outdated railway hanuwezi kujua haya Mambo
Lishamba lingine hili hapa🤣🤣😂😂😂, yaani tofauti kati ya SGR ya Kenya na yenu ni electric locomotives ambazo zitakua powered by electricity from overhead lines, which Kenya can do bila kubadilisha chochote kwa reli., nini cha ajabu hapo ba mzee?., kujikweza hamjambo😂🤣🤣🤣, kipande kidogo kimewachukua mda mrefu sana, nina hofu miradi mingi lined up in Tz zitapata wengi wenu kama mliondoka duniani😂😂😅
 
Onyesha apartments zilizojengwa na kumilikiwa na serikali ya Kenya kwa ajili ya wananchi wa ngazi ya chini
Inaitwa affordable housing.., Tanzania zipo?

Ungefanya utafiti kwanza ba mzee.., Kenya sio Tanzania., na ujue bado sisi ni bepari.., private sector imechangamka mara dufu..,

GOK project.., part of Uhuru Kenyatta's big four agenda., Affordable housing na ni classy..,
1648046668610.png

1648046641050.png

1648046262880.png

1648046279620.png

1648046760047.png
 
Ba mzee na wewe si unaijua Kenya, ikija mambo ya appartments sisi ni baba lao ukanda huu wote, outside South Africa.., tuna za kila aina ni mfuko wako tu utaamua., sio kama nyie ni dream houses mwanzo mwisho na vi appartrments uchwara CBD na chache hapa na pale mitaani.., 😛🤣😂😂😂
Sisi sio wenzenu bana🤣🤣🤣🔥🔥🔥
View attachment 2161929
View attachment 2161963
View attachment 2161932
View attachment 2161933
wanafunzi wa udom wanalala pazuri kuliko kunyans middle class
 
Inaitwa affordable housing.., Tanzania zipo?

Ungefanya utafiti kwanza ba mzee.., Kenya sio Tanzania., na ujue bado sisi ni bepari.., private sector imechangamka mara dufu..,

GOK project.., part of Uhuru Kenyatta's big four agenda., Affordable housing na ni classy..,
View attachment 2162030
View attachment 2162028
View attachment 2162020
View attachment 2162022
View attachment 2162031
low quality yan hata balcony tishtahe 😂😂 yani ni mabaya kama sura zenu😂😂😂😂
 
wanafunzi wa udom wanalala pazuri kuliko kunyans middle class
Alafu na wewe unalala uswazi, yaani dream houses, makazi za mido class ya Dar, yaani za kawaida, na pia wao wakimaliza shule wanarudi pale pale kwa uchochole., matatizo ya ujamaa economy., taifa hafifu kiuchumi😀😛😛🤣🤣😂😂😂
 
Hii live situation tell millions of Nairobi economic situations than fake and unrealistic numbers from IMF and World Bank

Ukweli ni kwamba Nairobi ina fukara wengi kupita kiasi, hawa watu wametoka kwenye campaigns za uchaguzi sio kama ni kundi 1 with 1 intention, imetokea tu by chance kumbe wote wezi

Perfect cross section ya hali ya uchumi kunyaland

low quality yan hata balcony tishtahe 😂😂 yani ni mabaya kama sura zenu😂😂😂😂
Wivuuu.., na bado, zinakuja kwa fujo, kajinyonge, najua mnatamani isiwe hivyo lakini zoea ukweli tu😂😂😂🤣😂😂
1648047288938.png

1648047340541.png

1648047376746.png
 
Lishamba lingine hili hapa🤣🤣😂😂😂, yaani tofauti kati ya SGR ya Kenya na yenu ni electric locomotives ambazo zitakua powered by electricity from overhead lines, which Kenya can do bila kubadilisha chochote kwa reli., nini cha ajabu hapo ba mzee?., kujikweza hamjambo😂🤣🤣🤣, kipande kidogo kimewachukua mda mrefu sana, nina hofu miradi mingi lined up in Tz zitapata wengi wenu kama mliondoka duniani😂😂😅
😂😂😂 European standad vs Chinese second class 😂😂😂
 
Hii live situation tell millions of Nairobi economic situations than fake and unrealistic numbers from IMF and World Bank

Ukweli ni kwamba Nairobi ina fukara wengi kupita kiasi, hawa watu wametoka kwenye campaigns za uchaguzi sio kama ni kundi 1 with 1 intention, imetokea tu by chance kumbe wote wezi

Perfect cross section ya hali ya uchumi kunyaland

Crime is crime can happen anywhere, and I condemn it, kama looters in England after a football match na kuibia watu, hama hauna taarifa, so what?, Inaitwa mob psychology, a group from a political rally or football match or a demonstration looting and taking things from people sporadically, so Dar is better than London ama Jozi? akili fupi🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😅
 
Lishamba lingine hili hapa, yaani tofauti kati ya SGR ya Kenya na yenu ni electric locomotives ambazo zitakua powered by electricity from overhead lines, which Kenya can do bila kubadilisha chochote kwa reli., nini cha ajabu hapo ba mzee?., kujikweza hamjambo, kipande kidogo kimewachukua mda mrefu sana, nina hofu miradi mingi lined up in Tz zitapata wengi wenu kama mliondoka duniani
Kwasababu ninyi hamjajenga reli ya umeme hamuwezi kujua jinsi inavyofanya kazi, hatuwezi kufanana, jielimishe kuhusu "signal system" ya reli ya umeme inavyofanyakazi, "there must be part of the railway to conduct electricity before signals can be transferred.

Kubali usikubali, our railway is one among the most advanced and sophisticated railway in the world, that's why stupid people like you can't comprehend this
 
😂😂😂😂😂😂😂 mbraaaaaayaaaa kama sura yako
mnaita apartment wkt hazina hadhi hata ya mwanafunzi kuishi hapo eboo?
Vumilia najua ni uchungu lakini zoea kaka.., Tanzania siku moja mtafika tu., ni mda usife moyo mzee, jipe matumaini 🤣🤣😂😂😂😂😅😅😅
 
Crime is crime can happen anywhere, and I condemn it, kama looters in England after a football match na kuibia watu, hama hauna taarifa, so what?, Inaitwa mob psychology, a group from a political rally or football match or a demonstration looting and taking things from people sporadically, so Dar is better than London ama Jozi? akili fupi🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😅
Inawezekana lakini mara nyingi huwa wanaiba kwenye maduka, sio hii yenu mtu mmoja anaibiwa na watu 50 actually hii ni daily life situation in Nairobi
 
Back
Top Bottom