Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi sanctions za USA against Russia zinaumiza industry za Germany na France vibaya sana
Screenshot_20220321-163646.jpg
 
Putin akasema wapi anachukua Kiev na Siku tatu? Tony wacha kueneza propaganda za dailymail huku jf
Yaani hapa kwa PUT IN ...umejikosha roho bwana MASHASHOLA .......ila unanichefuaga tu pale unapomdhiihaki marehemu .....
 
  • Thanks
Reactions: nao
Yaani hapa kwa PUT IN ...umejikosha roho bwana MASHASHOLA .......ila unanichefuaga tu pale unapomdhiihaki marehemu .....
Wewe jamaa unakoshwa roho na jinsi Russia inavyowauwa watoto wa Ukraine? Roho chafu kweli.
 
Wewe jamaa unakoshwa roho na jinsi Russia inavyowauwa watoto wa Ukraine? Roho chafu kweli.
TONY ...watoto gani hao wanaojua kushika silaha na kufyetua marisasi kwa russia militali .....huku wamejificha kwa majengo .........hata ingeku ni mimi mrussia namiminia mabomu hilo jengo ...haijalishi kuna watoto humo au wasiokua na hatia ............kama risasi inatoka huko miminia ma iskander m ...huko ili iwe fundisho kwa wanaojificha ......
 
Hizi sanctions za USA against Russia zinaumiza industry za Germany na France vibaya sana View attachment 2159421
In short term Europeans will suffer but they will be able to find new supplies from middle East
Mean while Russia is now selling oil at throw away price because they badly need cash, a very catastrophic disaster is awaiting them
 
Hizi sanctions za USA against Russia zinaumiza industry za Germany na France vibaya sana View attachment 2159421
Wacha iwaumize kwanini walikurupuka kuweka sankeshen....na kwani hawakujua ...kuwa msumeno unakata huku na huku.....sasa wakae wayajenge na russia .....tatizo wao wana msikiliza sana mmarekani .......nawashangaa sana wakati ....wao wanabuchumi mkubwa tu afu bado wanaburuzwa na marekani .....shame on them ...
 
TONY ...watoto gani hao wanaojua kushika silaha na kufyetua marisasi kwa russia militali .....huku wamejificha kwa majengo .........hata ingeku ni mimi mrussia namiminia mabomu hilo jengo ...haijalishi kuna watoto humo au wasiokua na hatia ............kama risasi inatoka huko miminia ma iskander m ...huko ili iwe fundisho kwa wanaojificha ......
Hii roho ya kishetani inakusaidia vipi?
 
After Dedan Kimathi, hakuna mkunya mwenye akili tena na anaejitambua. What went wrong wazee?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo tuu bado but sai tuna Uhuru!Tupiganie nini tena???Sai ni kazi ni kazi,biashara mpaka juu!!The bigger your Bank account the more Stronger man you appear!👌lakini wen danger comes tutatokea na utatuona😎Sons of MAUMAU
 
Skiza kilio cha dwarf Putin 👇👇
"Western countries are not only taking unfriendly actions against our country in the economic area. I'm speaking about the illegitimate sanctions that everyone is well aware of. However, the top officials of the leading NATO countries also make aggressive statements against our country as well,”
 
Hii roho ya kishetani inakusaidia vipi?
Na wewe nmbona unapost russian maiti zao zikiwa mabarabarani ...inakusaidia nini ......kama kweli wew una huruma hurumia pande zote usiegemee pande moja tu ....
 
Mimi kama naeza kupiga nipate kenye nataka na hakuna MTU atakaye niuliza, ntakutwanga tu hadi nipate nachotaka. We kama ni mjinga upigane na Mimi na unajua vizuri sana nitakupiga ole wako.
Hii ndio kesi ya Ukraine na Russia.
sasa Kenya ingewachia tu Somalia sea yetu pia???!!!!!eti sababu twaogopa kuvamiwa na Arab countries?????We will fight to the death
 
former US President Barrack Obama's hometown of Kisumu a.k.a Port Florence. the street level of the cleanest city in eastern and central africa.! 🔥🔥
20220321_161125.jpg
20220321_161308.jpg
20220321_161343.jpg
20220321_161352.jpg
20220321_162034.jpg
20220321_162025.jpg
20220321_162059.jpg
Screenshot_20220321-172704_Gallery.jpg
20220321_162154.jpg
20220321_162426.jpg
Screenshot_20220321-183427_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom