Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,716
- 107,163
Ni Jew kidini!Haka kazionist kwa jina Zelenshky ni kamtumwa ka Israel(usa) as i earlier saidView attachment 2159857
UNA MAANISHA NINI BLAZA ...EBU SAMARAIZ BASI ....HIVO VIFUNGU ...VYA BAIBO
for your information, Kenya is the most Advanced, Developed and the most Affluent country, with the highest HDI in Eastern and Central Africa. Mark that please......!!Bahati mbaya ni watu toka South Sudan, nilitaka kujiuliza na kushangaa, hivi Kuna watu wanaweza kunyanyaswa katika nchi mbovu yenye njaa, kwanini wasirudi kwao, Kenya Kuna nini zaidi ya njaa, crime, Slums and tribalism?
It is well known and documented everywhere that, Kenya tops EA in;.for your information, Kenya is the most Advanced, Developed and the most Affluent country, with the highest HDI in Eastern and Central Africa. Mark that please......!!
then why are we consistently above you in everything everyday..... infact u've always seen this in this thread, each and every ranking and everything else..............It is well known and documented everywhere that, Kenya tops EA in;.
1)Hunger
2)Corruption
3)Crime
4)Terrorism
5)Unemployment
6)Nepotism
7)Slums
8)Highest cost of living
9)Tribalism
Kama nimedanganya tafadhali Sana Pinga kwa kuweka ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23]
whatever u've highlighted here is also what's in South Africa, but is still the envy and role model to all sub saharan africa countriesIt is well known and documented everywhere that, Kenya tops EA in;.
1)Hunger
2)Corruption
3)Crime
4)Terrorism
5)Unemployment
6)Nepotism
7)Slums
8)Highest cost of living
9)Tribalism
Kama nimedanganya tafadhali Sana Pinga kwa kuweka ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ati South Africa wana njaa? Since when is Kunyaland comparing itself to SA?whatever u've highlighted here is also what's in South Africa, but is still the envy and role model to all sub saharan africa countries
Rising commodities prices and sliding Kenyan Shilling plus lack of proper regulation in the energy sector
Affluent amid poverty and hunger misery [emoji44]for your information, Kenya is the most Advanced, Developed and the most Affluent country, with the highest HDI in Eastern and Central Africa. Mark that please......!!
Ni kiswahili cha Kenya hicho. Sio lazima niandike Kiswahili cha Tanzania kila wakati."nikufe" ndio nini?
Ni myahudi kama walivyo akina Roman Abromavich na maafisa wengine ambapo ni Raia wa Russia lakini walizaliwa na kukulia Kyiv wakati wa Soviet, lakini hajawahi omba uraia wa Israel ni Ukrainian.Usichojua ni wayahudi walikuwa wametawanyika mahala pengi ulaya na Africa hasa Habeshi"Ethiopia" kwa kua walikosa taifa kutokana na kushindwa vita.Hivyo basi kua myahudi haimanishi ni muisrael ijapo hiyo ni factor ya kupewa uraia Israel au Portugal.Haka kazionist kwa jina Zelenshky ni kamtumwa ka Israel(usa) as i earlier sa
Wewe jamaa joto la jiwe unaichukia Kenya sana. Hata siku hizi unaichukia Kenya kushinda Geza UloleBahati mbaya ni watu toka South Sudan, nilitaka kujiuliza na kushangaa, hivi Kuna watu wanaweza kunyanyaswa katika nchi mbovu yenye njaa, kwanini wasirudi kwao?