ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
so kenya ni poorest country according AFDB 🤣🤣🤣🤣🤣
vp nimekutag wewe ?? unakinyama kinakuwasha nini?? usiwe unanitag au unaniquote mm huo mchezo siutak tafuta mwengine wanaume wako wengi tu humu









kwani mm ndio niliotengeneza?? sasa kwann unalia 😂😂😂😂Hii ni prediction ya ujinga na ushenzi sana. Aliyeunda hii graphics ni mshenzi na mpumbavu wa mwisho ambaye hajawahi kuingia katika any economics class. Sasa Egypt ambayo kwa sasa ina Gdp chini ya $400 billion itakuwaje na Gdp ya $8.2T baada ya miaka minane tu kuanzia sasa? 2030 ni miaka minane tu kutoka sasa. Mjinga sana huyo aliyeandika hio list. ichoboy01 jifunze kuwa na critical thinking sio kupost humu uchafu wowote unaoupata mtandaoni. Hio list inaweza kutengenezwa na chizi yeyote mtandaoni bora ana laptop na internet.
Bila chenga hiyoo 👆 ndo "maanake" wkaongezewa debt ceiling mpaka US$113.8 bln! kesho utaskia Kunyaland GDP is US$ 200 bln!so kenya ni poorest country according AFDB 🤣🤣🤣🤣🤣



china ikipanda hapo tusahau hao jamaa kushuka ni mbinde,
sijajua kama kulikuwa representative kutoka Tanzania, lkn AfDB boss mwenyewe anaupenda huu mradi wa reli Tanzania-Burundi-DRC utelezeke.
kwa maelezo yaliyopo mtandaon, Rwanda walirepresent hu mradi wao wa Kigali Innovation City
Kula 5 manAmevaa zile nguo ambazo wanaume tunapenda warembo wavae wakitutembelea.![]()







Hakuna nchi yoyote yenye uwezo wa kujitoa au kususia SGR ya Tanzania kwa hali yoyote Ile, "infact", hata Kenya inafikiria ni jinsi gani ingeweza kuunganisha reli yake na Tanzania, tatizo linaloizuia Kenya kuunganisha ni kutokana na kwambaBasi inakaa kama Kagame kabadili mawazo, nadhani hajapenda Burundi kujiunga na Tanzania atasubiri ajiunge na Uganda! Si neno, tunaanza na walio tayari!
sasa mbona Burundi kaja nyuma yake na kashapata mkopo? Kumbuka pia diesel engines zinapita kweye electric SGR pia kwahiyo Kenya inaweza kujiunga na yetu pia! Tatizo lililopo ni ushindani kati ya kenya na Tanzania kufikia mzigo wa landlocked countries na kuukamata kwanza!Hakuna nchi yoyote yenye uwezo wa kujitoa au kususia SGR ya Tanzania kwa hali yoyote Ile, "infact", hata Kenya inafikiria ni jinsi gani ingeweza kuunganisha reli yake na Tanzania, tatizo linaloizuia Kenya kuunganisha ni kutokana na kwamba
1)Reli ya Kenya kwa Sasa inamilikiwa na mchina
2)Reli ya Kenya sio ya umeme, "technologically" ni outdated ukilinganisha na Tanzania, kwahiyo hizi reli mbili sio "compatible".
ni hatari na kapozi hako kama kastudent flan ivi ka UDAmevaa zile nguo ambazo wanaume tunapenda warembo wavae wakitutembelea.![]()
Umekua search engine ya Tony254 a.k.a mchumi wa mchongo . Yaani economist hajui hata details za kwao![]()
AfDB-Funded Thika Superhighway: A Masterpiece for East Africa “A National Pride” - President Mwai Kibaki
The 50-km Nairobi–Thika superhighway, described by Kenya’s President Mwai Kibaki as a source of “national pride” during its launch on November 9, covers an area that lies within the Nairobi Metropolitan and Central Province, including large sections of the City and Thika district. The road...www.afdb.org
![]()
AfDB-Funded Thika Superhighway: A Masterpiece for East Africa “A National Pride” - President Mwai Kibaki
The 50-km Nairobi–Thika superhighway, described by Kenya’s President Mwai Kibaki as a source of “national pride” during its launch on November 9, covers an area that lies within the Nairobi Metropolitan and Central Province, including large sections of the City and Thika district. The road...www.afdb.org
Kenya ilishapoteza pambano na TZ Kati hili eneo la SGR, sababu kubwa ya mchina kukataa kutoa pesa kumalizia kipande hadi Malaba, alijua kwamba hakutokua na faida kibiashara kwasababu Uganda ilishakosa pesa ya kuifikisha Kampala.sasa mbona Burundi kaja nyuma yake na kashapata mkopo? Kumbuka pia diesel engines zinapita kweye electric SGR pia kwahiyo Kenya inaweza kujiunga na yetu pia! Tatizo lililopo ni ushindani kati ya kenya na Tanzania kufikia mzigo wa landlocked countries na kuukamata kwanza!
China wamepiga hesabu ndefu sana ndio maana wakampa uraisi wa maisha rais wao . Wamefocus kwenye uchumi , wanaviwanda vingi sana . Wako very strategic . Wakafanikiwa kuifanya yuan kua global currency . Biashara itakua imeisha . Inaonesha western wali underestimate Chinese strategic plan . Inabidi wawe makini sana