Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumewazoea hata SGR yenu ilianza kufika 95% in 2019 lakini hadi saa hii bado haijaisha.
enhh umehamia kwenye SGR tena 🀣🀣🀣
tunajenga phase 4 kwa pamoja my friend

phase one dar to moro 300km = 95%+
phase two moro to singida 442km = 71%+
phase three singida to tabora 368km = 4%+
phase five mwanza to isaka 340km = 10%


hvi wewe huskii wivu kuona modern bullet train in africa zinaingia mwaka huu πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
enhh umehamia kwenye SGR tena 🀣🀣🀣
tunajenga phase 4 kwa pamoja my friend

phase one dar to moro 300km = 95%+
phase two moro to singida 442km = 71%+
phase three singida to tabora 368km = 4%+
phase five mwanza to isaka 340km = 10%


hvi wewe huskii wivu kuona modern bullet train in africa zinaingia mwaka huu πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Siku zinaingia watahama humu ndani!
 
nyegesi bus terminal mwanza





nyamongoro bus terminal mwanza






mwanza modern market









mwanza international airport terminal building + modern cargo building







modern and largest bridge in east and central africa in mwanza 3.2km



meli kubwa na yakisasa ikiendelea na ujenzi mwanza
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ






alaf mombasa inafananishwa na mwanza 🀣🀣🀣🀣🀣
 
munawahitaji au wao ndio wanatuhitaji zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa GDP
Nashukuru kwamba umemjua kwamba huyo ni mzee wa GDP, yn tuusan anaabudu GDP kuliko kitu chochote duniani, Yuko radhi kusema Ghana iko mbele ya Tz kisa GDP, huyu jamaa bhn yn huwa hajiongezi, ofcz he's a bad example of smart civil servant, hajiongezi huyu jamaa.
 
Nairobi expressway will be the most beautiful road in Africa[emoji3059][emoji3590]

View attachment 2154469

View attachment 2154470

IMG_5135.jpg


i even asked β€˜a little man’ in the house, who do you think owns this structure?, he said β€˜Chinese’ [emoji38]
 
hapa ndo wanapokosea kuweka sehem moja.. waweke hata maeneo ya kinondoni, mwenge , kawe sijui wap huko .. kuziweka sehem moja haipendezi
Simon vp bhn ww, hupendi aesthetics? Yn hutaki tuwagaragaze hawa mbwa? Wacha ijengwe hapo alafu hawa waandishi wetu wavivu wasipopiga picha tutapiga wenyewe, yn ikijengwa hapo italeta good impression.
 
Only kama Magufuli angekuwa alive
Leo ni tarehe 17.03.2022, naomba kipekee kabisa nimkumbuke Jemedari aliyetupa nguvu ya kuwa hapa, yn huyu mzee ndiye engine na ndiye aliyetupa power mpk leo tunadebate bila hofu yoyote kwamba tupo juu ya nchi zote za ukanda huu, naomba kwa heshima na taazima JF isimame japo dk 5 tumuombe mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahala panapostahili.

Kwako JPM kama unaiona hii comment naomba uko uliko ufurahi na ujue kwamba we all love you yn watu wote kwenye hii thread tunakupenda sn na tunakukumbuka mno, we luv you so much.
_99157619_magufuliafphi033021367.jpg
tanzanian-president-john-magufuli-.jpg
_112764478_gettyimages-1146173821.jpg
 
Back
Top Bottom