nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
wakunya hamna kitu kichwani, wamelelewa kuwa tegemezi na omba omba, kila mwaka njaa, kila wakati mashambulizi ya alshabaab, vituo vya majeshi ya kigeni every where,Sisi tunajenga SGR ya 4600km mzee compared to yenu ya 400km project duration lazima ziwe tofauti mzee.