Hao city planners ndo washenz namba moja hpa tz[emoji28]haipendezi kwako wewe usiye na exposure ! Huwezi ukatoa project mahali prime land penye sports cultural roots ukapeleka say Mwenge! kwani wewe ni genius kuliko city planners walio-designate pale pawe na sport complexes? Nimekuuliza Mwenge wapi wajenge? Hujajijbu! BTW nimetaja games nyingi si olympic tu, kuna hata All African games Kenya wali-host kipindi cha nyuma na ukienda Kasarani stadium utaona sehemu yao kwa ukubwa ni kama Taifa!
usiombee vita vya dunia..nuclear winter sio mchezoWapeleke ndege waache ujinga,kama vipi iwe vita ya Dunia tuu tukawanyooshe pro Russia wote.
Nigeria pia ni kubwa lkn nyie kanchi kenu ni kadogo na mko over 50mil ss, mko vzr sana kwa kupigana para.Africa ina watu 1.2 billion. Nigeria ina watu zaidi ya 200 million. Kati ya kila Waafrika sita, mmoja wao ni Mnigeria. Hawa watu kwa kupigana miti wanastahili kupewa kikombe.
Ss hapo kati ya wakenya na watz wepi wanapigana sn mikasi? Do your maths properly.waapi? Hata watu milioni hamsini hatujafika. Kwa mujibu wa official data ya KNBS Kenya ina watu 49 million. Huku TZ ikiwa na watu 60 milion. Sasa ni watu gani wanapigana pumbu na kuzaliana hovyo? Sisi waafrika tungepunguza kasi ya kuzaliana basi hata gdp per capita ingeongezeka, kwa maana gdp per capita hutegemea idadi ya watu. Rwanda na size yake ndogo ina watu 10 million huku Norway ambayo ni kubwa ina watu 5 million pekee.
😆😆🤣🤣🤣 ila ajabu wameitwa magenius ili kutetea hoja .. ila potezea mkuu🤣Hao city planners ndo washenz namba moja hpa tz[emoji28]
dyfre I like learning new things. This is the second time you are telling me that Kenya's gdp per capita is $2,296. Please give me the source of your information. I can't just use that figure without evidence. I use $1,900 because that is what I can find on the internet from a verifiable source. So show me your source and I will start using your new figures otherwise, I cannot just use your figures without evidence.Tony. 🖐🏽 a point of correction... kenya ni $2,296, na sio $1,900
Nigeria inatoshana na Tanzania kwa ukubwa ila population yao ni 3.5 times ya Tanzania. Zingatia Tanzania ina watu 60 million na Nigeria ina watu 210 million. Sasa sijui unapinga nini kwamba barani Afrika hawa jamaa ndio wanachukua kikombe kwenye mchezo wa kupigana pumbu? Sisi East Afrika hatujui mchezo huu.Nigeria pia ni kubwa lkn nyie kanchi kenu ni kadogo na mko over 50mil ss, mko vzr sana kwa kupigana para.
Kenya mnazaana mara mbili zaidi ya Tanzania, kumbuka Tanzania eneo letu ni ×2 ya Kenya, lakini kwa idadi ya watu ni tofauti kidogo Sana Kati ya Tanzania na Kenya.Nigeria inatoshana na Tanzania kwa ukubwa ila population yao ni 3.5 times ya Tanzania. Zingatia Tanzania ina watu 60 million na Nigeria ina watu 210 million. Sasa sijui unapinga nini kwamba barani Afrika hawa jamaa ndio wanachukua kikombe kwenye mchezo wa kupigana pumbu? Sisi East Afrika hatujui mchezo huu.
By the time hii war inaisha ukraine itabaki na -GDPAmerica inazidi kuipatia Ukraine silaha mpya. Leo imetangaza kwamba inapeleka silaha worth $800 million huko Ukraine. Ikiwemo 2,000 Javelin ATM. Hizi javelin ndio zimeangamiza tanks nyingi za Russia, pamoja na NLAW ya Britain. Hii vita sioni ikiisha hivi karibuni.
Wakenya wangekuwa na ardhi kama ya Tz halafu uhakika wa maji na chakula ungekuwepo wangefika 120M peopleKenya mnazaana mara mbili zaidi ya Tanzania, kumbuka Tanzania eneo letu ni ×2 ya Kenya, lakini kwa idadi ya watu ni tofauti kidogo Sana Kati ya Tanzania na Kenya.
Sababu ingine ambayo ni tatizo kwa Kenya ni chakula na Natural resources ikiwemo maji ya kutosha, Kenya hamna maji Wala chakula cha kutosha, mnapaswa kupunguza kuzaana hadi muhakikishe kwa maji na chakula vinaendana na idadi ya watu
Hivi huu mchepuko utakuwa umepunguza masaa mangapi kwenda Tanga?Bagamoyo Tanga via Pangani Kazi iendelee usiku mwema.View attachment 2152348View attachment 2152349View attachment 2152352View attachment 2152350View attachment 2152351
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i’m narrow inward thinking and yet you expect me to answer your excellent questions?[emoji38] magenius bana
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm sio kipofu, hongera na ushuzi wa makaratasi.....kamaa ulivyo sema hatupo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua ukweli huwa hampendi but that doesn't stop from posting them here[emoji23]
View attachment 2153302
Nazani itakua kalibu Sana sasaivi tanga na dar nikama Moro na dar tu kilometer 200 nazani utakua mchepuko wa haraka sana kuja darHivi huu mchepuko utakuwa umepunguza masaa mangapi kwenda Tanga?
jifanye hujaona endelea na mambo mengineHii inahusu nn kati ya Tanzania na Kenya? Jamaa kawa mwanajeshi US ndo kuja kujitambia humu ndani? Kama si ujinga?
Hii vita inapiganwa ulaya Lakini adhari zake zinakuja afrika na wakikosea inaweza kuwa world war 3.Mambo ya Iraq usiyakete kwa Ukraine.
Wangewazidi hata Nigeria Hawa jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya wangekuwa na ardhi kama ya Tz halafu uhakika wa maji na chakula ungekuwepo wangefika 120M people
haipendezi kwako wewe usiye na exposure ! Huwezi ukatoa project mahali prime land penye sports cultural roots ukapeleka say Mwenge! kwani wewe ni genius kuliko city planners walio-designate pale pawe na sport complexes? Nimekuuliza Mwenge wapi wajenge? Hujajijbu! BTW nimetaja games nyingi si olympic tu, kuna hata All African games Kenya wali-host kipindi cha nyuma na ukienda Kasarani stadium utaona sehemu yao kwa ukubwa ni kama Taifa!
Iwe tuu hiyo ww3 Ili tu reshape upya Order ya Dunia..Hii vita inapiganwa ulaya Lakini adhari zake zinakuja afrika na wakikosea inaweza kuwa world war 3.
Kuna mambo mengi yamejificha ndani yake ikiwemo majimbo ya waUkraine warussia kushambuliwa na kuuwawa na jeshi la Ukraine na ukraine kutaka kujiunga nato tofauti na makubaliano ya russia na nato ya awali ya kila Mtu kutomsogelea mwenzake