Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza Ulole na joto la jiwe nyie ndio mlikuwa mnaiita SGR ya Kenya kwamba ni white elephant. Sasa Sgr ya Kenya inabeba 5.4 million tonnes of cargo wakati white elephant yenu bado haijakamilika. [emoji23][emoji1787]
Kwani according to project document for the sgr how much tonnage was it supposed to carry per annum? If it carries less than that then it qualifies to be a big white elephant.
 
Geza Ulole na joto la jiwe nyie ndio mlikuwa mnaiita SGR ya Kenya kwamba ni white elephant. Sasa Sgr ya Kenya inabeba 5.4 million tonnes of cargo wakati white elephant yenu bado haijakamilika. [emoji23][emoji1787]
Hivi unajua maana ya "White Elephant project?, It is a project which can't work and exist on its own, very expensive for customers, less attractive to clients, there is no clear future.

Can you tell us what was the main target of your SGR, I guess it was to serve Kenya, Uganda, Rwanda and DRC, tell me now, where the railway ends?[emoji23]
 
Zwazwa anataka picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu hiyo ya mwisho nmekosa picha yake mana waandishi wetu ni wazembe mno picha Kali Kama ile ya SGR cable stayed bridge viaduct na haipo google kwakweli inasikitisha sn, matokeo yake jamaa wamejimilikisha mana cc si tumelipotezea bhn.View attachment 2151722View attachment 2151723View attachment 2151724View attachment 2151725View attachment 2151726
Dah yani wamejimilikisha cable stayed bridge yetu hivihivi!
 
Zwazwa anataka picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu hiyo ya mwisho nmekosa picha yake mana waandishi wetu ni wazembe mno picha Kali Kama ile ya SGR cable stayed bridge viaduct na haipo google kwakweli inasikitisha sn, matokeo yake jamaa wamejimilikisha mana cc si tumelipotezea bhn.View attachment 2151722View attachment 2151723View attachment 2151724View attachment 2151725View attachment 2151726

Ila mzee hili si cable stayed bridge!
ferry-jpg.2151724
 
leta mamako analo tulione lisilo uchafu! Ukinionyesha 50 m cable stayed bridge for vehicles/trains Kunyaland nahama humu! hata fanya 10 m!

Tanzania's cable stayed bridge over Mara river built in 1980s, the first cable stayed bridge in the whole of East and central Africa!

VS

Kunyaland's ricket bridge over Mara bridge

Nimesema cable stayed bridges hapo ni mbili. Hizo zingine ni uchafu.🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom