Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The best city in East and Central Africa.

1647360873834 .jpg

1647360872324 .jpg

1647360995970 .jpg

1647361087486 .jpg

1647361146009 .jpg

1647361175302 .jpg

1647361220670 .jpg

1647361222331 .jpg

1647361223581 .jpg

1647361416325 .jpg
 
Hakuna haja ya makasiriko, ishakuwa hvyo kwamba kuna baadhi ya nchi zimebarikiwa na mwenyezi Mungu kwamba watu wake watakuwa na akili na nchi zingine zitakuwa na watu wapuuzi.

Wakiona miradi ya Tanzania ikisonga mbele huwa wanazunguka kwa nyumba kama nusu saa hivi wakiugulia maumivu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lapsset. Bigger than all projects in Tanzania combined.
Unajua ndege zimenunuliwa kwa USD ngapi tena cash? Acha blaaaa blaaaa . Comeback to lot 1 of sgr it's cash from government , don't forget about JNHP Baba laooooo, you can't even dare to start billion dollars project likes JNHP. Wekunya kula chapooo na githeri
 
Hata uandike insha pages ngapi, bado LAPSSET is bigger than all Tanzanian projects combined.
 
Hata uandike insha pages ngapi, bado LAPSSET is bigger than all Tanzanian projects combined.
Haaaa tena JNHP mnajipendekeza kwao waligoma but as independent country tulianza bila kupepesa macho .

Nyieakabaki mnaweweseka haswa wewe bwana mapema ukaokota mahela ndotoni haaaaaaa

Mara mnaanza kutoa idadi wanaokufa kwa Corona yaani mnatapata mara curfew yaani sijui mnasimamiaga nini ?
Yaani mpo kama bendera kesho wazungu waseme hiki hamnataki hata kutumia common sense . Just copy and paste
 
Tony254 ww siunaamini sana BBC

haya.. wacha tu hawa warusi, wachokore kyiv kama nyumba ya mtu aliye hama, inaweza kua pigo sana ikiwa watakumbatiana na zala la nuclear iliyoachwa hapo kuwakaribisha, wakati wanajeshi wote wa urusi watakua wamejikusanya hapo.. 💣💣.....💥🔥🔥 wacha tu wacheze, hawajui mbinu za nato..
 
Back
Top Bottom