Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio Geza ujuwe kwamba Kenya tunaheshimika. Marekani anaanza kuogopa sana kwamba kutakuwa na machafuko Kenya kwa maana sisi ndio anchor state wa Marekani ukanda huu na hangependa kupoteza rafiki yake. Uganda nao wanalia sana kwamba uchaguzi wa Kenya unaweza kuleta shida ya usafirishaji wa mizigo. Tanzania ilipokuwa na uchaguzi mwaka uliopita, Uganda na Marekani hawakusema lolote. Ndio muendelee kuita Kenya failed state tu ila nchi zingine zinajua baba yao ni nani ukanda huu. Natumai habari umeipata pamoja na hawa watu
joto la jiwe The best 007 ichoboy01
Uchaguzi wa Kenya unafuatiliwa kwasababu ya" Election violence", Waganda wanakumbuka hasara waliyopata 2007, hadi Leo bado hawajalipwa fidia.

Kitu pekee kinachosababisha uchaguzi wa Kenya kushika vichwa vya habari ni kwasababu ya historian ya fujo na mauaji wakati wa uchaguzi. Wewe mwenyewe unajua kwamba mwaka huu wote hakuna investors wanaokuja Kenya hadi uchaguzi umalizike
 
na mbona Moderna Company, last week.?!
 
Such a beauty
Screenshot_20220315-005659_1.jpg
Screenshot_20220315-012357_1.jpg
Screenshot_20220315-005659_2.jpg
Screenshot_20220315-005754_1.jpg
Screenshot_20220315-010036_1.jpg
Screenshot_20220315-005904_1.jpg
Screenshot_20220315-005822_1.jpg
Screenshot_20220315-005937_1.jpg
Screenshot_20220315-010841_1.jpg

Screenshot_20220315-005659.png
 
Nimeona youtuber mkenya anasema BRT yenu nauli itakuwa ksh 150 , nikabaki nashang'aa kweli mnateseka sana majirani
kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
 
Simon, bado nipe mmda kiasi, Plan yako li njiani. niko karibu kumalizia. kama sio kesho, keshokutwa basi....
meanwhile am confused which to choose for this project between Flat-Roof and Hipped-Roof design... Simons, gani afadhali kaa ingekua ni mradi yako

FLOOR PLAN
2Bedrm Unit Block, 1Bedrm Unit Block, and a Commercial Block in the facáde, tht goes 3floors upView attachment 2150675

Roof gani kali kati ya

HIPPED ROOF👇🏽View attachment 2150679View attachment 2150681

na

FLAT-ROOF 👇🏽View attachment 2150677View attachment 2150678
Both look nice but I'd prefer the hipped one
 
kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Haya ni maneno ya mtu ambaye hajatembea duniani, nchi tajiri kabisa duniani, huwezi Kuta nauli kubwa kiasi hiki, wewe hujui dunia, kumbuka Kenya watumishi wanaolipwa zaidi ya Tshs. 2M per month hawazidi 9000, zaidi ya 40% ya wakenya hutembea kwa miguu kwenda kazini kutokana na kukosa pesa ya nauli
 
Back
Top Bottom