Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Putin anaendelea kuharibu nchi yake. Ameamua kunationalize 500 leased aeroplanes bila kulipa leasor companies. Sasa nashangaa anafikiri nani siku za usoni atakuhali kulease ndege to a Russian airline ikiwa wanafanya wizi wa wazi namna hii? Hii ndio njia rahisi ya kufukuza investors.