Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Unfortunately in Kenya 77% of mobile loan users can't repay[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dreamhouses kila mahali.
Urban planning ni gonjwa la taifa. The fact that there are people in office getting paid but they do absolutely nothing makes me sick to my stomach! Some People do build impressive homes, but barabara ni za vumbi, sewerage systems ni nonexistent, no parks or gardens, no community centers; essentially, suburban Tanzania is VERY Ghetto! Ni aibu! Pia watu wanajenga mahali popote wanapotaka, angalia slums za Mwanza, I’m sure those hills look like the favelas of Rio de Jeneiro.

Masaki being “the best-planned part of Dar” shows Tanzania’s failure. Masaki was a predominantly European suburb during colonial times, and Westerners love organization and aesthetics. So you can see just how well-planned the Msasani peninsula is. But the rest of the city is simply in shambles! Even other affluent areas, such as Mbezi Beach are not as carefully planned and maintained as Msasani! Does this mean that locals don’t deserve to live in well-planned neighborhoods? You tell me! Ni aibu kuwa sehemu wanayokaa foreigners wengi ndio bora Zaidi kuliko sehemu yoyote wanayoishi locals Dar es salaam.
 
kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Per capita ya UK ni kubwa mara kadhaa ya kenya lakini nauli ya london buses ni cheap kuliko hiyo yenu.
 
Hahahaha, "largest American Embassy in Subsahara Africa is in Nairobi Kenya", this is typical Kenyan stupidity, kujisifu kwa kila kitu bila ushahidi wowote.

By the way, kuwa na ubalozi mkubwa wa USA nchini kwako wakati mnaenda kukopa na kuomba msaada China, bado njaa ni janga la taifa, mnashindwa kuzuia Alshabaad kushambulia wakenya, ninyi mnafaidika kitu gani zaidi ya sifa za kijinga?
Hawa jamaa ni vituko sana unakuta mtu kapiga suti na tai utafikiri ni mtu wa maana sana sasa muangalie anapokwenda kulala sasa kiberaaaa[emoji1787]
 
sasa tuseme marekani hua anafurahia munavouana na hzo chuki za tribalism? marekani atakua rafiki endapo ana maslahi na ww yakiisha maslahi basi anakua adui hua hana rafiki wa kudumu hio weka akilini
nyangau hawaelewi, wanaona sifa jirani kujiimarisha katika chumba chake na mkewe
 
Dar is slum can't be this clean.

View attachment 2150366
Kwani mnajua hata manaa ya usafi wakunya?
JamiiForums-1972539792.jpg
 
Per capita ya UK ni kubwa mara kadhaa ya kenya lakini nauli ya london buses ni cheap kuliko hiyo yenu.
Hehehe, yani wabongo na kuwa unknowledgeable ni kama chanda na Pete. Bus fares za UK hizi hapa. The cheapest for an adult ni 1.65 pounds yani shillings za Kenya 245.
 
kenya haiwezi kua tanganyika, unapoangalia hii nauli kes150, jua per capita ya kenya ni zaidi ya mara mbili tanganyika. mtu wa kadri kama mimi sijawai hisi kufinyika hata sikumoja, na maisha inazidi kusonga taratib kilaleo.. nauli ya ksh150 ni reasonable huku. huko kwenyu najua itakua ni balaa....
Yan nyiny gharama zikiwa chini mnasifia zikiwa juu mnasifia pia
 
Urban planning ni gonjwa la taifa. The fact that there are people in office getting paid but they do absolutely nothing makes me sick to my stomach! Some People do build impressive homes, but barabara ni za vumbi, sewerage systems ni nonexistent, no parks or gardens, no community centers; essentially, suburban Tanzania is VERY Ghetto! Ni aibu! Pia watu wanajenga mahali popote wanapotaka, angalia slums za Mwanza, I’m sure those hills look like the favelas of Rio de Jeneiro.

Masaki being “the best-planned part of Dar” shows Tanzania’s failure. Masaki was a predominantly European suburb during colonial times, and Westerners love organization and aesthetics. So you can see just how well-planned the Msasani peninsula is. But the rest of the city is simply in shambles! Even other affluent areas, such as Mbezi Beach are not as carefully planned and maintained as Msasani! Does this mean that locals don’t deserve to live in well-planned neighborhoods? You tell me! Ni aibu kuwa sehemu wanayokaa foreigners wengi ndio bora Zaidi kuliko sehemu yoyote wanayoishi locals Dar es salaam.
Katika hili sijui tuna tatizo gan
 
Hv mpaka leo hawajah kuwaza kuhusu hili tatzo au wanaplan gani kwa mnaofaham[emoji848]
inshot dar lazima igharamike in future kwa kufumua maeneo yasiyo na mpaka ,haswa itaanzia maeneo yaliyokaribu na mjini,

ishu inakuja kwenye hii miji mipya ambayo haijapangwa itakuwaje maana utakuwa mchezo wakula chooni baada ya kuvunja choo tunaamia kula dampo ,sasa hii ni changamoto kwa kweli na sidhani kama wanashaurika na isitoshe kila mkoa una maafisa ardhi ila utendaji wao ni haba sana

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom