Leta evidenceKwa taarifa Yako Russia Alisha eliminate foreign currency zake zote kwenye reserve yake kabla ya vita...
westland + upperhill + CBD 😂😂😂
Ndio Geza ujuwe kwamba Kenya tunaheshimika. Marekani anaanza kuogopa sana kwamba kutakuwa na machafuko Kenya kwa maana sisi ndio anchor state wa Marekani ukanda huu na hangependa kupoteza rafiki yake. Uganda nao wanalia sana kwamba uchaguzi wa Kenya unaweza kuleta shida ya usafirishaji wa mizigo. Tanzania ilipokuwa na uchaguzi mwaka uliopita, Uganda na Marekani hawakusema lolote. Ndio muendelee kuita Kenya failed state tu ila nchi zingine zinajua baba yao ni nani ukanda huu. Natumai habari umeipata pamoja na hawa watu![]()
Kenya’s polls heat drives jitters up the Northern Corridor
Uganda MPs concerned that rising political temperatures in Kenya have driven up cost of living along the Northern Corridor.www.theeastafrican.co.ke
CC: Tony254 yale mabomba yatakuwa ya kuziba leakage Nyanza!
Hawa lazima wauane tena mana kila mtu mjuaji kwenye nchi yao, nchi ya wajuaji hii kuanzia mbunge mpk chokoraa wote wajuaji, wacha wauane tu hakuna namna wanaweza kukwepa mauaji.siasa uharo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini ka Nairobi kakawa kasafi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]