Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona youtuber mkenya anasema BRT yenu nauli itakuwa ksh 150 , nikabaki nashang'aa kweli mnateseka sana majirani
 
sasa tuseme marekani hua anafurahia munavouana na hzo chuki za tribalism? marekani atakua rafiki endapo ana maslahi na ww yakiisha maslahi basi anakua adui hua hana rafiki wa kudumu hio weka akilini
 
Kwa nini unakuwa mshamba namna hii?
 
huku strike, huku hunger and poverty, huku unemployment, huku loan, huku toll fee za mchina 🤣🤣🤣🤣 huku SGR loan white elephant, huku inflation rate iko highTony254 hvi mlirogewa wapi??
 
sasa tuseme marekani hua anafurahia munavouana na hzo chuki za tribalism? marekani atakua rafiki endapo ana maslahi na ww yakiisha maslahi basi anakua adui hua hana rafiki wa kudumu hio weka akilini
Ile 2008 JK aliwaonea huruma akaenda kuwapata nisha jamaa wanaroho mbaya walikua wanakatana mapanga na kuchomana moto hadi kanisani .wamerekani walikua wanakula burger na pizza tu huko kwao .


Yaani wakunya wanapenda kujipa class wakati ki ukweli ni pangu pakavu tia mchuzi . Hadi leo JK wanamwona kama mwokozi wao . Last time wakati anataka kumaliza mda wake alienda bungeni kwao wakawa wanamshangilia kama kuna mechi za mpira za mtaani
 
Simon, bado nipe mmda kiasi, Plan yako li njiani. niko karibu namalizia. kama sio kesho, keshokutwa basi....
meanwhile am confused which to choose for this project between Flat-Roof and Hipped-Roof design... Simons, gani afadhali kaa huu ungekua ni mradi wako

FLOOR PLAN
a 2Bedrm Unit Block, 1Bedrm Unit Block, and a Commercial Block in the facáde, thts replicated 3floors up☝🏽

Roof gani kali kati ya

HIPPED ROOF👇🏽

na

FLAT-ROOF 👇🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…