Hata huku Dar pipes kama hizo zinapita nyingi sana kila siku toka bandariGeza Ulole eliakeem sasa hivi hapa Nairobi nimeona trucks mbili kila moja imebeba pipes nne za chuma kubwa sana. Diametre pengine ni half a metre. Hizi pipes nashuku zinakwenda Uganda kwenye mradi wa Tilenga. Kwa bahati mbaya nimesahau kupiga picha. Lakini najua zitapita nyingi tu. Nitazipiga picha nikiziona tena.