The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Nyie mshashindwa, hii vita ipo tangu Ukiwa kijana mdogo na bado mpk ss wanawasumbua lkn huoni wazungu wakitia japo neno, ila Ukraine wamesumbuliwa kdg tu tayari mabeberu washatia mikono yao, jibu ni kwamba wazungu hawana interest yoyote na Kunyaland, so mnawashabikia watu ambao hawajali utu zaidi ya kitu.Hapa hakuna haja ya kuhusisha wazungu. Hawa Al shabab tunastahili kuwapiga sisi wenyewe.
Stop excuses and face reality, Alshababs have military uniform and they hide within boni forest before they attack. They carry guns and other weapons, if KDF can't go and establish buffer zone and prevent Alshababs from using boni forest, that is great weakness, why can't Alshababs attack Ethiopia regularly.let me tell you this jiwe la moto, a terrorist is a very coward person, that's why they come in plain clothes, study the place first before they could ambush. they are coward because they always look for very soft targets, the civilians.. they can strike anywhere and without any prior notice.. its not tht kdf is weak or underperforming as you say, but because they are dealing with these unpredictable animals
Weka ushahidi tuone Kama wakenya wameokolewa "formally"Serikali ya Kenya ilifanya mipango na serikali ya poland zamani sana. Huna habari?
Wote ninyi mnafanana, kupenda kujisifu lakini hali za maisha ni ngumu, ndio sababu wakenya na wanaigeria wanaongoza kutoroka nchini mwao, GDPs hazifanyi kazi yoyote[emoji23][emoji23][emoji23]Nigeria ina nafuu kushinda Kenya? Kivipi? Unaijua Nigeria vizuri kweli? Wao wamepigwa na boko haram kushinda Kenya tulivyopigwa na Al shabab. Wao hawana umeme hakika na kila duka au jumba lina genereta kwa maana umeme huwa unakuja kwa masaa manne kisha unasepa. Kenya tuna umeme wa hakika ambao haupotei kushinda nchi yoyote ukanda huu. Nigeria ni corrupt kushinda Kenya.
Izi anasa sielewi kwann wakenya wanapenda kupanda matatu yani safari km 300 unapanda kipanyaWatoe wapi, kwanza bus zimeongezwa siti tofauti na zilivyokuja, yani abiria ukifika final destination unakuwa hoi kama ulikuwa unabeba mizigo, alafu kuna baadhi ya safari huko Kunyaland unatumia mpk siku mbili njiani kutokana na ubovu wa road.
Kuwapiga kwa kutumia jeshi lipi, KDF?, that shall never happen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa hakuna haja ya kuhusisha wazungu. Hawa Al shabab tunastahili kuwapiga sisi wenyewe.
Hawa jamaa huwa siwaelewi utakuta mtu anatoroka nchini kwao anaenda marekani kujiunga na jeshi la marekani ili apewe uraia alafu sio mmoja ni wengi mm nilijuaga hawana uzalendo kumbe ni hali ya maisha nchini kwao na hulka zao pia za kuwaabudu wazunguWote ninyi mnafanana, kupenda kujisifu lakini hali za maisha ni ngumu, ndio sababu wakenya na wanaigeria wanaongoza kutoroka nchini mwao, GDPs hazifanyi kazi yoyote[emoji23][emoji23][emoji23]
JK noma na hii taasisi Nako yupo? ❤️❤️
Safi Sana walichezea hadi wakaanza jufyatua hovyo mizinga bila kujua wanapiga wapi 😁😁😁Naomba tudebate bila matusi. Sisi sio adui eti kwa sababu tunasupport timu tofauti. Wewe unasupport Yanga mimi nasupport Simba lakini hio haimaanishi kwamba sisi ni adui.
Ona Russia anavyoshushiwa kichapo na TB2 drone kutoka Turkey. Yaani baada ya tank ya kwanza kupigwa bomb, unaona wanajeshi wa Russia wanashuka kutoka kwa tank zao kukimbia kuokoa maisha yao. Tank zingine zinageuza na kutoroka. Hii ni video mpya, hio sio ile ya jana.
Halafu vita hii ya Ukraine inatuhusu sisi Waafrika kwa sababu bei ya bidhaa inapanda, ikiwemo bei ya mafuta na vyakula kama ngano. Tazama PM wa Barbados alivyosema.
Dah watu wabaya sana wamekula mafuta yote ndio heri hata sisi huo upuuzi wa kupata hasara za kijinga utakuwa haupo maana tunatumia stima kwenye sgr yetuase[emoji3]
GDP mavi
Wanapenda au hawana alternative?Izi anasa sielewi kwann wakenya wanapenda kupanda matatu yani safari km 300 unapanda kipanya
Hawa Alshabab walivyotia mguu Tz tuu walipata cha moto ikabidi waelekee MozambiqueJibu ni kwamba, Kenya is a failed state[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili jengo ni tamu sana hasa ukipandisha ngazi departure kuelekea immigration booth natural light na air conditioning itakufanya ujiskie raha na kujiona uko sehemu tofauti kbs!baada ya hapo panda ngazi kuelekea departure lounge unakutana na maduka ya kisasa yaliyo dizainiwa kwa ustadi mkubwa plus upande wa pili kuta za vioo ukitazama ndege zilizopaki pamoja na eneo lenye uwanda mkubwa uliowazi!!!.The East Africa’s Largest and Modern airport,
Julius Nyerere International Airport View attachment 2146862
View attachment 2146863
View attachment 2146864
View attachment 2146866
View attachment 2146867
View attachment 2146868