Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiangaike na hawa wachawi. Mtanzania ni mtu wa kuwekea fact moja alafu unamwacha hapo akigombezana wewe ukiendelea na mambo zako. That's the reason siku hizi utaniona hapa dakika kidogo and then napotea tena. I post a disturbing fact then napotea.
 
Russia ni wajinga wanatuma tank kuattack bila kuzipatia escort ya helicopter au jets to cover. Ni kama mbuzi wanaokwenda kichinjioni. Tanks zinabomolewa na bombs za TB2 utafikiri ni video game. Hata CNN wanashangaa hii ni Russia gani hii? Hii sio ile Russia tumezoea. Yaani ukiona vifaru vinageuza na kutoroka kwenye battle ujue TB2 mwanaume wa kazi amewasili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…