Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya bhn wana vituko kweli kweli, wanapenda sifa za kijinga mno, kuna mmoja alikuwa anajisifia maisha bora cjui anamjengo, cku ikawekwa picha yake humu kaparara kinoma, macho mekundu kwa dhiki alafu kapiga T-shirt ya wasafi

Mwengine aka download pesa google akidai ni zake na mikwara mingi akisema "this is the last time for me to expose my real life here, the only reason it's because you requested for it, next time if you want me to do like that I won't show even my nails "

Mwengine nimemkamata juzi na pesa za freemason akidai ni zake

Wakenya muishi kwenye uhalisia muache upumbavu.
 
Huyu dogo anafurahia kuwa na Levi's store nna uhakika yeye mwenyewe ni mshamba wa kuzidi, and I'm 100% sure hana hata jeans moja ya maana mpuuzi tu 😂😂😂, anazungumzia hela alafu yeye hana, hawa watu ni vituko haswaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Next time watakuja kushindanisha uvaaji wa boksa!
 
Huyu dogo anafurahia kuwa na Levi's store nna uhakika yeye mwenyewe ni mshamba wa kuzidi, and I'm 100% sure hana hata jeans moja ya maana mpuuzi tu 😂😂😂, anazungumzia hela alafu yeye hana, hawa watu ni vituko haswaa
Kila siku huku nasema Wakunya ni washamba sana na primitives, sasa mtu kweli jeans store nayo ni national economy perimeter? 😂😂😂😂
 
Huyo dogo ni mshamba sana, tangu alivyojua kuhusu Levi's basi akili zake zikamtuma Bongo hakuna 😂😂 haujui DSM ni port City, kuna kila kitu kwa wingi wake
Jibber jabber all you want wont change anything 😅
Wakenya bhn wana vituko kweli kweli, wanapenda sifa za kijinga mno, kuna mmoja alikuwa anajisifia maisha bora cjui anamjengo, cku ikawekwa picha yake humu kaparara kinoma, macho mekundu kwa dhiki alafu kapiga T-shirt ya wasafi

Mwengine aka download pesa google akidai ni zake na mikwara mingi akisema "this is the last time for me to expose my real life here, the only reason it's because you requested for it, next time if you want me to do like that I won't show even my nails "

Mwengine nimemkamata juzi na pesa za freemason akidai ni zake

Wakenya muishi kwenye uhalisia muache upumbavu.
Yaani kukubali tu kuwa hakuna store ya Levi's tanzania nzima imewatoa wote jasho 😅😅😅😅 si mkubali tu, asiyekubali iushindwa...

And withdraw your foolish statements that Kenyans have no money...
 
1646925632189-png.2145958

1646925632189.png
 
Back
Top Bottom