Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1646933495465.png
1646933511486.png
1646933629451.png
 
Russia ni wajinga wanatuma tank kuattack bila kuzipatia escort ya helicopter au jets to cover. Ni kama mbuzi wanaokwenda kichinjioni. Tanks zinabomolewa na bombs za TB2 utafikiri ni video game. Hata CNN wanashangaa hii ni Russia gani hii? Hii sio ile Russia tumezoea. Yaani ukiona vifaru vinageuza na kutoroka kwenye battle ujue TB2 mwanaume wa kazi amewasili.

Propaganda za nchi za magharibi hizi mkuu, wanachagua habari za kurusha kama hizi za Russia kupigwa...ingekuwa USA imevamia tungeona habari nyingi za mashambulizi ya USA hata kama angekuwa anadundwa
 
Russia ni wajinga wanatuma tank kuattack bila kuzipatia escort ya helicopter au jets to cover. Ni kama mbuzi wanaokwenda kichinjioni. Tanks zinabomolewa na bombs za TB2 utafikiri ni video game. Hata CNN wanashangaa hii ni Russia gani hii? Hii sio ile Russia tumezoea. Yaani ukiona vifaru vinageuza na kutoroka kwenye battle ujue TB2 mwanaume wa kazi amewasili.
Labda wanatafuta zinapotokea hizo drone hawawezi fanya ujinga bila sababu . Kumbuka vita inapigania ndani ya Ukraine sio Russia . Hivyo bado Ukraine wapo kwenye hali tete hawajaweza kumtoa adui
 
China anaenda kua wholesaler wa mafuta , urusi anabaki kuna manufacturer . Yaani hata thamani ya yuan inaenda kupanda . $ itapungua thamani yaani lazima ishake bila kupenda
Wewe ndio umeongea vizuri, Mchina na Mrusi walishajiandaa nia yao kubwa ni kuitikisa dollar.
Na ili dollar ibaki salama Marekani anatakiwa kutumia akili kubwa sana ikiwa ni pamoja na kutojiunga na hii vita.
 
Russia ni wajinga wanatuma tank kuattack bila kuzipatia escort ya helicopter au jets to cover. Ni kama mbuzi wanaokwenda kichinjioni. Tanks zinabomolewa na bombs za TB2 utafikiri ni video game. Hata CNN wanashangaa hii ni Russia gani hii? Hii sio ile Russia tumezoea. Yaani ukiona vifaru vinageuza na kutoroka kwenye battle ujue TB2 mwanaume wa kazi amewasili.

source CNN 😂😂😂😂 wazee wa propaganda
 
hvi ww unafkiri russia vita wameanza jana au juzi ?? 🤣🤣🤣 ww sikuliza propaganda za kutengeza ila kisu cha mrusi kiko pale pale ndio maana unaona nchi za europe zinahangaika na vikwazo na hawatii hata pua kwenye vita
 
Their best things they are bragging of every single mornie and night ni express way ya mchina na apartments za wenyewe sisi tunaendelea kuvunja records zetu wenyewe,

Mara treni za umeme
Mara BRT phase 2
Mara bwawa kubwa la umeme
Mara we connecting EA region kwa reli ya umeme
Mara mji wa serikali Dom
Mara Madaraja makubwa kila mahali
.
. Tayari we the biggest exporter in the region, and now tunapiga $3.5 billion za madini tu

Uku nako SLA yasainiwa tayari kwa full control of Uganda cargo. . Tony254 sisi ni baba wa EA uache mchezo kabisa
Mara midege kama yote na mingine iko njiani
 
Back
Top Bottom