Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndugu huoni baada ya kupigwa sasa wanafanya uhalifu wa kivita kwa kushambulia huduma za jamii kinyume na sheria za vita.

Hicho ndicho kiliwapekeka kuvamia Ukraine?
Warusi wanafanyia raia wa Ukraine unyama kwa sababu wameshindwa kufanyia jeshi la Ukraine unyama. Hii ndio tactic yao ya kupunguza ari au motisha ya wanajeshi wa Ukraine. Ila Russia kubomb hospitali ya wamama waja wazito na watoto wadogo ni unyama sana. Hata sijui Watanzania wanaosupport unyama huu wa Russia wanafikiria nini.
 
source CNN 😂😂😂😂 wazee wa propaganda
Source sio CNN. Source ni ministry of Defence of Ukraine. Media nyingi zimeireport. Sasa unatafuta pa kutokea ndio maana unadanganya kwamba source ni CNN. CNN wenyewe wamesema wametoa video kutoka ministry of defence of Ukraine.
 
wakenya nawapeni ushauri kuhusu ishu ya Chelsea na Roman Abramovich na FIFA
FA yenu si ilifungiwa kisa serikali kuingilia mambo ya soka.. sasa nyie anyishen hashtag huko twitter FIFA waache double standard kwa UK government, maana serikali yao imeingilia masuala ya mpira kwenye club ya chelsea kisa mrusi Abramovich

Duh, mlikuwa mnamuita Magu dikiteta? Hawa ndio first class dictators.
 
Source sio CNN. Source ni ministry of Defence of Ukraine. Media nyingi zimeireport. Sasa unatafuta pa kutokea ndio maana unadanganya kwamba source ni CNN. CNN wenyewe wamesema wametoa video kutoka ministry of defence of Ukraine.
Let's go.....tulieni vita ni uwanjani sio kwenye media, vita vikimalizika kila ukweli na uongo utajulikana, kwasasa wacha vita viendelee, kusingizia kwamba raia wanalengwa ndio silaha pekee iliyobaki kwa Ukraine ili kuishawishi Urusi kusimamisha kichapo
 
Warusi wanafanyia raia wa Ukraine unyama kwa sababu wameshindwa kufanyia jeshi la Ukraine unyama. Hii ndio tactic yao ya kupunguza ari au motisha ya wanajeshi wa Ukraine. Ila Russia kubomb hospitali ya wamama waja wazito na watoto wadogo ni unyama sana. Hata sijui Watanzania wanaosupport unyama huu wa Russia wanafikiria nini.
Hivi unaweza kutaja idadi ya raia waliouliwa na majeshi ya Marekani huko Afghanistan na Syria?, Mara ngapi ndege na Drones za Marekani zimeshambulia makundi ya watu waliko katika mikusanyiko ya harusi, sokoni na Hospitali huko Afghanistan na Syria?
 
Russia ni wajinga wanatuma tank kuattack bila kuzipatia escort ya helicopter au jets to cover. Ni kama mbuzi wanaokwenda kichinjioni. Tanks zinabomolewa na bombs za TB2 utafikiri ni video game. Hata CNN wanashangaa hii ni Russia gani hii? Hii sio ile Russia tumezoea. Yaani ukiona vifaru vinageuza na kutoroka kwenye battle ujue TB2 mwanaume wa kazi amewasili.
Hii ni vita Kati ya Russia na NATO, unategemea kwamba Russia itashinda kwa urahisi?, "It isn't walk in the park", lazima kutatokea Mambo Kama hayo, kumbuka hapo sio porini ni mjini kwenye Nyumba, lazima "ambush' zinatokea.
 
Warusi wanafanyia raia wa Ukraine unyama kwa sababu wameshindwa kufanyia jeshi la Ukraine unyama. Hii ndio tactic yao ya kupunguza ari au motisha ya wanajeshi wa Ukraine. Ila Russia kubomb hospitali ya wamama waja wazito na watoto wadogo ni unyama sana. Hata sijui Watanzania wanaosupport unyama huu wa Russia wanafikiria nini.
Wapumbavu Sana hao na Dunia haitakiwi kuwachekea,wanachofanya saizi ni uharifu na uharibifu wa mali

Screenshot_20220311-065417.png

Screenshot_20220311-065339.png
 
Let's go.....tulieni vita ni uwanjani sio kwenye media, vita vikimalizika kila ukweli na uongo utajulikana, kwasasa wacha vita viendelee, kusingizia kwamba raia wanalengwa ndio silaha pekee iliyobaki kwa Ukraine ili kuishawishi Urusi kusimamisha kichapo
Jeshi la Urusi limeshindwa kupigana na jeshi la Ukraine sasa wameona wamama waja wazito ndio target rahisi kwao.
 
Hii ni vita Kati ya Russia na NATO, unategemea kwamba Russia itashinda kwa urahisi?, "It isn't walk in the park", lazima kutatokea Mambo Kama hayo, kumbuka hapo sio porini ni mjini kwenye Nyumba, lazima "ambush' zinatokea.
Hahaha. Si wewe ndio jana ulikuwa unaniambia kwamba Russia imeshashinda vita hivi. Sasa leo umebadilisha goal post na kusema kwamba vita hivi vinategemewa kuwa vikali kwa sababu Nato wanasaidia Ukraine? Naona ufahamu umeanza kukurudia. Umeanza kuelewa kwamba hii vita sio ya kitoto. Hata Russia haikutegemea kwamba vita vitakuwa vigumu hivi, ukizingatia wao ni superpower na wana uwezo mkubwa na silaha nyingi. Planning ya Russia ni mbovu. Ukizingatia wana msafara wa kilomita 40 ya magari ya kijeshi yaliyokwama kaskazini mwa Kiev kwa sababu ya kukosa mafuta.
 
Hii vita umeshakwisha Kama sio hao raia wanaozuia majeshi ya Urusi kusonga mbele kwa Kasi, lazima wachukue tahadhari kubwa waepuke kuwauwa raia, vinginevyo Sasa hivi Ukraine ingeshakuwa ni majivu.

Binadamu ni watu wa ajabu Sana, Warusi wakipigana kwa tahadhari kuepuka madhara zaidi, mnasema wanashindwa vita, wakivurumisha kipigo mnalalamika kwamba wanaumiza mama wajawazito.

Japo Urusi inashinda kwa urahisi tu hii vita, lakini Mambo mawili hayawezi kuepukika
1)Lazima kutatokea madhara na hasara kwa majeshi ya Urusi
2) Lazima raia wa Ukraine wataumia Sana.

Kumbuka, "The goal of any war is to WIN, Russian is wining the war
 
Hivi wakenya mnatumia vigezo gani kumchagua viongozi wenu?, Mlitumia vigezo gani kuwachagua Sonko, Uhuru Kenyatta, Willium Rutto kuwa viongozi wenu
 
Labda wanatafuta zinapotokea hizo drone hawawezi fanya ujinga bila sababu . Kumbuka vita inapigania ndani ya Ukraine sio Russia . Hivyo bado Ukraine wapo kwenye hali tete hawajaweza kumtoa adui
Chief unapoteza muda wako kujibizana na wanaosema russia anapigwa, haipaswi hata kuwa na mjadala wa hili swala
 
Wewe ndio umeongea vizuri, Mchina na Mrusi walishajiandaa nia yao kubwa ni kuitikisa dollar.
Na ili dollar ibaki salama Marekani anatakiwa kutumia akili kubwa sana ikiwa ni pamoja na kutojiunga na hii vita.
Sure, hata waarabu wapo kwenye hii league kimyakimya. Watu wanafikiri Putin kaingia kichwakichwa wakati hadi EU washashtukia mchezo
 
Back
Top Bottom